Clouds FM kwanini mnasema wazi kuwa Yanga na Singida BS ni ndugu?

Jibu swali wewe acha kudema dema,mliifunga yanga 6-0,4-1,5-1 kwahiyo kipindi chote iko mlikuwa mkiwahonga wachezaji yanga pesa?
Rage ajengewe sanamu kwa Kuwaita mbumbumbu
Sasa simba tangu lini ikawa na utamaduni wa kuhonga wachezaji wa timu pinzani ili ilegezewe, ingekuwa inafanya hivyo basi huko kimataifa ambako kuna timu ngumu na hakuna kuhonga isingekuwa inafanya vizuri, kabla hamjajenga Sanamu la Rage anzeni kwanza kujenga la Eymael maana yeye ndiye alikuwa sahihi kuliko Manara kuwahusu
 
Kweli wewe ndo mbumbumbu aliosasema Rage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…