CLOUDS FM, Ushauri huu msiuache!

CLOUDS FM, Ushauri huu msiuache!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776

Mwanamuzi, muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili Israel Mboni ametua Tanzania kufanya tamasha Mlimani City na Leaders Club.

Katika interview pale Clouds muwe mnaweka, kama ni mtu wa injili basi wale watu wa gospel, wenye uelewa wa injili na kufuatilia na ikibidi wekeni mlokole.

Sasa Sudi Brown ni "mataifa' "kafiri"na hamjui Mungu alafu anawekwa kumuuliza mtu aliyeokoka, kajikuta anauliza maswali ya ngono ambayo ndio wamezoea kuuliza wasanii.

Clip ya mahojiano hayo nimeona aibu kuipost hapa maana hata waandishi wengine watajisikia vibaya.

Kwa ujumla, mwandishi huwezi kuwa mbobezi wa kila kitu, ni sawa ni kibatala leo u mlete afanye ishu za corporate, hatoweza.

Ajiri watu wenye profession zao hata kwa mkataba wa kazi maalum.
Sitoshangaa sku mnamuhoji raisi au makamu mkaanza kumuuliza maswali kama hayo.
 
Kuna tofauti kati ya gospel industry na gospel ministry!
Nyie watu wa MUNGU, kuweni makini na shetani maana ananyumbulika vibaya! Ngoja muende sasa huko Mlimani city na wapi sijui kwingineko mtajionea vituko vya ajabu kwa watu watakao kuwapo pale na jinsi walivyo kimuonekano.
Ndiyo mtajua kuwa hiyo ni illuminat gospel.
✝️
 
Katika interview pale clouds muwe mnaweka , kama ni mtu wa injili basi wale watu wa gospel , wenye uelewa wa i njili na kufuatilia na ikibidi wekeni mlokole .
Sasa Sudi Brown ni "mataifa' "kafiri"na hamjui Mungu alafu anawekwa kumuuliza mtu aliyeokoka, kajikuta anauliza maswali ya ngono ambayo ndio wamezoea kuuliza wasanii.

Clip ya mahojiano hayo nimeona aibu kuipost hapa maana hata waandishi wengine watajisikia vibaya.
Kwa ujumla, mwandishi huwezi kuwa mbobezi wa kila kitu, ni sawa ni kibatala leo u mlete afanye ishu za corporate, hatoweza.
Ajiri watu wenye profession zao hata kwa mkataba wa kazi maalum.
Sitoshangaa sku mnamuhoji raisi au makamu mkaanza kumuuliza maswali kama hayo.
Ndugu wananchi,
Fuatilieni na kutazama Television ya Taifa TBC, hamtojuta, hamtokwazika wala kulalamika kamwe 🐒
 
Mwanamuzi, muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili Israel Mboni ametua Tanzania kufanya tamasha Mlimani City na Leaders Club.

Katika interview pale Clouds muwe mnaweka, kama ni mtu wa injili basi wale watu wa gospel, wenye uelewa wa injili na kufuatilia na ikibidi wekeni mlokole.

Sasa Sudi Brown ni "mataifa' "kafiri"na hamjui Mungu alafu anawekwa kumuuliza mtu aliyeokoka, kajikuta anauliza maswali ya ngono ambayo ndio wamezoea kuuliza wasanii.

Clip ya mahojiano hayo nimeona aibu kuipost hapa maana hata waandishi wengine watajisikia vibaya.

Kwa ujumla, mwandishi huwezi kuwa mbobezi wa kila kitu, ni sawa ni kibatala leo u mlete afanye ishu za corporate, hatoweza.

Ajiri watu wenye profession zao hata kwa mkataba wa kazi maalum.
Sitoshangaa sku mnamuhoji raisi au makamu mkaanza kumuuliza maswali kama hayo.
Mmiliki na watangazaji wake wote akili moja
 
Ndugu wananchi,
Fuatilieni na kutazama Television ya Taifa TBC, hamtojuta, hamtokwazika wala kulalamika kamwe 🐒
Viongozi wakuu, Wasanii , Waimbaji wakubwa gospel wanafanya interview Clouds, hata yule Liwali Wa Arusha anafanyia Clouds, hao TBC ni tv ya kitu gani?
 
Umekosea kidogo Soudy brown na huyo Mboni kafiri hapo ni mboni
Sijakosea, figurative language niloweka najua , najua staha ya maneno la lugha ya picha. Kafiri analazimishwa na "mtakatifu" kujichua? umeskiza interview.
Ngoja Nyani Ngabu ataileta hapa.
 
Kuna tofauti kati ya gospel industry na gospel ministry!
Nyie watu wa MUNGU, kuweni makini na shetani maana ananyumbulika vibaya! Ngoja muende sasa huko Mlimani city na wapi sijui kwingineko mtajionea vituko vya ajabu kwa watu watakao kuwapo pale na jinsi walivyo kimuonekano.
Ndiyo mtajua kuwa hiyo ni illuminat gospel.
✝️
ukiwa na mtazamo huo hutaenda kanisani utaona ni illuminat watupu kuanzia askofu hadi waumini
 
Mwanamuzi, muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili Israel Mboni ametua Tanzania kufanya tamasha Mlimani City na Leaders Club.

Katika interview pale Clouds muwe mnaweka, kama ni mtu wa injili basi wale watu wa gospel, wenye uelewa wa injili na kufuatilia na ikibidi wekeni mlokole.

Sasa Sudi Brown ni "mataifa' "kafiri"na hamjui Mungu alafu anawekwa kumuuliza mtu aliyeokoka, kajikuta anauliza maswali ya ngono ambayo ndio wamezoea kuuliza wasanii.

Clip ya mahojiano hayo nimeona aibu kuipost hapa maana hata waandishi wengine watajisikia vibaya.

Kwa ujumla, mwandishi huwezi kuwa mbobezi wa kila kitu, ni sawa ni kibatala leo u mlete afanye ishu za corporate, hatoweza.

Ajiri watu wenye profession zao hata kwa mkataba wa kazi maalum.
Sitoshangaa sku mnamuhoji raisi au makamu mkaanza kumuuliza maswali kama hayo.
Hao ndio waandishi wa kizazi kipya....

Pascal Mayalla
 
Kuna tofauti kati ya gospel industry na gospel ministry!
Nyie watu wa MUNGU, kuweni makini na shetani maana ananyumbulika vibaya! Ngoja muende sasa huko Mlimani city na wapi sijui kwingineko mtajionea vituko vya ajabu kwa watu watakao kuwapo pale na jinsi walivyo kimuonekano.
Ndiyo mtajua kuwa hiyo ni illuminat gospel.
✝️
Mangi acha ushamba, unataka watu waende mlimani city na madera?
Tofautisha ibada kanisani na tamasha la muziki wa gospel.
Israel Mbonyi amesema amekuja kwaajili ya wanaomjua Mungu, la hasha, kwa wasio mjua waokoke !
Unajua Waislamu ndio wengi watako hudhuria?
Unajua kuna wasabato?
Unajua kunawanaume walio okoka wanawatoa girl frinds zao out kwenye tamasha?
Unajua kuna wasio na dini wengi tu wataenda kutazama na kumsifu Yesu?

Wewe unakuwa kama FARISAYO NA SADUKAYO, kwamba ni mtu wa mwilini na torati na kwako nguo ndio zinapeleka mtu mbinguni! badilika
 
Back
Top Bottom