luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wame extend muda na watangazaji wameongezeka alikua anafanya mmoja zamani kutia update but sasahivi ni kama kipindi.Hili game ni session ndani ya PB, na ipo muda mrefu sana.
Sawa, sijasikiliza pb nina wiki mbili maana ndio kipindi pekee kinanifanya nasikiliza redio.Wame extend muda na watangazaji wameongezeka alikua anafanya mmoja zamani kutia update but sasahivi no kama kipindi.
Baba yangu sisi wabongo ni wajuaji kinyamaa alafu wabishi dunia nzima!Wame extend muda na watangazaji wameongezeka alikua anafanya mmoja zamani kutia update but sasahivi ni kama kipindi.
Next time learn to argue with facts that exist!Sawa, sijasikiliza pb nina wiki mbili maana ndio kipindi pekee kinanifanya nasikiliza redio.
😁😁😁😁Baba yangu sisi wabongo ni wajuaji kinyamaa alafu wabishi dunia nzima!
Nilitegemea kukuta ubishi wa hivyo yani mtu hata hajasikiliza Radio labda mara ya mwisho amesikiliza miezi minne nyuma lakini anabisha tu hahahahaha kudadaaadeki😂😂
Sawa, sijasikiliza pb nina wiki mbili maana ndio kipindi pekee kinanifanya nasikiliza redi
Wanaanza sa tatu kamili adSawa, sijasikiliza pb nina wiki mbili maana ndio kipindi pekee kinanifanya nasikiliza redio.
Ila clouds nafkiri kwa mtazamo wangu ndio Ina cream nzuri ya wachambuzi wa soka,na kwa mtazamo wangu pia Alex lwambano ndo the best sport anchor hapa bongo so naona wameona Kuna kit wanakipoteza asubuhi na uwezo wa ku wa keep waskilizaji wao wanaowahama asubuhi wanao.wamefanya homework yao vizuri sanaBaba yangu sisi wabongo ni wajuaji kinyamaa alafu wabishi dunia nzima!
Nilitegemea kukuta ubishi wa hivyo yani mtu hata hajasikiliza Radio labda mara ya mwisho amesikiliza miezi minne nyuma lakini anabisha tu hahahahaha kudadaaadeki😂😂
Mkuu, kwani ungetumia lugha nzuri kunielewesha ungepungukiwa nini. Wakati mwingine hekima sio kubishana na kuonesha unajua zaidi ya wenzako. Hekima ni kuwaelewesha wengine kwa lugha ya staha. By the way mimi sijabisha kama hicho kitu kipo ama hakipo, nimeeleza kuwa ni session ndani ya kipindi cha PB na ndio ukweli wenyewe na kilichoongezeka ni muda.Next time learn to argue with facts that exist!
Kukaa kimya pia ni jibu mpendwa.Mkuu, kwani ungetumia lugha nzuri kunielewesha ungepungukiwa nini. Wakati mwingine hekima sio kubishana na kuonesha unajua zaidi ya wenzako. Hekima ni kuwaelewesha wengine kwa lugha ya staha. By the way mimi sijabisha kama hicho kitu kipo ama hakipo, nimeeleza kuwa ni session ndani ya kipindi cha PB na ndio ukweli wenyewe na kilichoongezeka ni muda.
Usitake kuonekana mwerevu kisa kujua ratiba za vipindi vya redio.
Ni kweli, ila wakati namjibu mtoa mada sikubisha na hata aliponijibu bado nimekubali. Kosa liko wapi hapo.Kukaa kimya pia ni jibu mpendwa.
Unaona sasa bado unaendelea tu kubisha laaah! 😀Mkuu, kwani ungetumia lugha nzuri kunielewesha ungepungukiwa nini. Wakati mwingine hekima sio kubishana na kuonesha unajua zaidi ya wenzako. Hekima ni kuwaelewesha wengine kwa lugha ya staha. By the way mimi sijabisha kama hicho kitu kipo ama hakipo, nimeeleza kuwa ni session ndani ya kipindi cha PB na ndio ukweli wenyewe na kilichoongezeka ni muda.
Usitake kuonekana mwerevu kisa kujua ratiba za vipindi vya redio.