Clouds FM uvumilivu umewashinda, waanzisha kipindi cha michezo asubuhi

Clouds FM uvumilivu umewashinda, waanzisha kipindi cha michezo asubuhi

Unaona sasa bado unaendelea tu kubisha laaah! 😀
Yani hapa nimealika watu 6 naowaambiaga daily sisi ni wabishi dunia nzima na hatutaki kukubali hata tukionyeshwa kweli ni hii bado tu tutabisha.

Wanacheka kinoma, yani majina waliyokupa hapa nikiyaandika nakula ban [emoji13][emoji13]
Nilijua naeleweshwa na mtu mwenye busara.
 
Hili Game ipo miaka nenda Rudi asubuhi sema ilikuwa imepewa muda mchache na Sasa labda watakuwa wameiongezea muda sio kwamba ni kipindi kipya.
 
Niko poa bro... How is it dude !?
Am dope nigga, kuna watu wanapanikisha sana humu.
Max atuandalie pambano la wabishi wa JF tuzichape atakayebondwa aache ubishi mazima 😀
 
Hatimaye Clouds FM moja kati ya redio kubwa Tanzania imeanzisha kipindi cha michezo asubuhi kiitwacho Hili Game.

Ikumbukwe Efm ndio mwasisi wa kipindi cha michezo asubuhi kitwacho Sports HQ.

Zamani ili kuwa nadra sana Clouds ku-adapt mifumo ya vipindi vya redio zingine hakika katika hili ni mapinduzi Efm wameleta katika tasnia ya media.
Clouds imeishiwa kitambo tu, hawana jipya hata kidogo. Wasafi nao ni wachovu sana kwa vipindi vya redio.
 
Ila hawa SPORTS ARENA...

Really nilikuwa sikosi kuwasikiliza kina Jeff Lea na wenzake wa mawingu...

Toka waje akina G.Ambangile na crew yake pale WASAFI FM daah SIWABUNDUKI...huniachia siku mojamoja kwenda kuwasikiliza sports court hapo mawinguni...
 
Back
Top Bottom