Clouds FM uvumilivu umewashinda, waanzisha kipindi cha michezo asubuhi

Nilijua naeleweshwa na mtu mwenye busara.
 
Hili Game ipo miaka nenda Rudi asubuhi sema ilikuwa imepewa muda mchache na Sasa labda watakuwa wameiongezea muda sio kwamba ni kipindi kipya.
 
Niko poa bro... How is it dude !?
Am dope nigga, kuna watu wanapanikisha sana humu.
Max atuandalie pambano la wabishi wa JF tuzichape atakayebondwa aache ubishi mazima πŸ˜€
 
Clouds imeishiwa kitambo tu, hawana jipya hata kidogo. Wasafi nao ni wachovu sana kwa vipindi vya redio.
 
Ila hawa SPORTS ARENA...

Really nilikuwa sikosi kuwasikiliza kina Jeff Lea na wenzake wa mawingu...

Toka waje akina G.Ambangile na crew yake pale WASAFI FM daah SIWABUNDUKI...huniachia siku mojamoja kwenda kuwasikiliza sports court hapo mawinguni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…