Clouds FM uvumilivu umewashinda, waanzisha kipindi cha michezo asubuhi

Indu ,unamzungumzia prince baina kamukuru ilikua raha sana,mm nafikir RFA waliish mbele ya muda maana kwa vipind vile na watangazaj wale hakuna redio ya sasa inayowafikia kila kipind kilikua vzur na watangazaj mahir kwel kwel ,mpaka maripota wao walikua vzur ikaenda ad kwa watuma salamu wakawa maarufu
 
Lwambano ananikatishaga tamaa kitu kimoja tu anapenda mno soka la bongo ulaya tunapewa dakika kidogo
 
Dah kipindi hicho walikuwa na ripota wao Morogoro nilikuwa namkubali kinyama nimemsahau jina
 
Lwambano ananikatishaga tamaa kitu kimoja tu anapenda mno soka la bongo ulaya tunapewa dakika kidogo
Sana mkuu πŸ˜…πŸ˜…,,nawe umegundua Hilo jamaa mswahili kabisa yule mtoto wa temeke kbsa,hata Chama Cha soka Cha temeke jamaa ndo mwenyekiti wa kamati ya mashindano,sa pata picha mipira ya temeke kule mashindano ye ndo anasmamia ,so ni automatically soka la bongo limemka Zaid kichwan
Ila jamaa anajua sana kunogesha kipindi anawapa kazi ndogo wachambuzi wake.
 
Hana kitu yule
 
mmmh hili game kitambo tu mbn we clouds umeanz kusikiliza lini jombaa..!!
 
alaf wat hawaelew km ile ni biashra so inahitaj ubunif ili kupamban na ushindan kutoka kwa wapinzan..!!
 
Muhiri obare kung'omba chacha sukale. Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam.

Mkuu, sijui waliteleza wapi hadi wakaanguka.
 
Naona Maulidi Kitenge akikopi utaratibu wa vipindi toka E. FM alipokuwa zamani.
 
Lwambano ananikatishaga tamaa kitu kimoja tu anapenda mno soka la bongo ulaya tunapewa dakika kidogo
asante kwa kuliona hilo mkuu yaani mi ndo wamenifukuza kabisa kwenye radio yao kwa sababu hiyo, yaani kipindi kina lisaa limoja na nusu maana yake lisaa limoja habari za michezo za nyumbani na hiyo nusu saa ni habari za michezo za kimataifa.Ajabu ni kwamba Lwambano mpaka zile nusu saa za habari za kimataifa anatangaza habari za nyumbani zikibaki dk tano ndo wanagusia kimataifa juujuu....kiufupi kama si mpenzi wa mipira ya Simba na Yanga huwezi kuwa mpenzi wa michezo ya Clouds hasa akitangaza Lwambano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…