Jana niliona kuna member amejadili kuhusu taa hizo, nikapita usiku na kubaini kuwa alichozungumza ni kweli, taa hizo kwenye Jiji la Chalamila zinazingua na ni hatari kwa kuwa zinaweza kusababisha ajali, kwani kila upande unaweza kuhisi upo sahihi.
Mjadala huo wa Clouds FM nimeusikia asubuhi hii kupitia Kipindi cha Power Breakfast, tarehe 25, February 2026.
Taa nyingi kwakweli ktk jiji letu hili zina fanya kwa muundo huo, wahusika kwakweli wanapashwa kuliangalia hilo kwa kina ili usalama wa watumiaji wa bara bara uwe mzuri.

Mkuu unaweza kusimama kwenye mataa saa saba usiku usubiri taa ziwake? Kwa usalama wako pia taa hizo usiku zinaachwa za tahadhari tu upite ukionani salama kupita.
Hata zikiwa zinafanya kazi ni wachache sana watafuata taa usiku wa nanane