Tunachofanya mimi na nani? Mimi ni Ngabu na niko peke yangu. Usinihusishe na wengine ambao hawanihusu. Kama vile ambavyo wewe unavyoona mitazamo yako ndo nami hivyo hivyo. Naona huyo binti kachemka, anatafuta bifu kinguvu ili afufue career yake ambayo iko mahututi.
Well, good for you. You can like or love whatever or whomever.
Matangazo ya biashara na CCM kushinda chaguzi havina uhusiano hata kidogo. Umechemka. Jipange upya.
So? He's just another has-been anyway. And who listens to him? You and yo'mama?
Nimekwambia usinihusishe na wengine. "Mtapeleka" kwani mimi nina ubia na Clouds?
Ngabu, Ngabu please be critical there is no just law but valid one. Even if mawingu wins, does not mean the judgement is just, it will be a result of laws that was made by haves in favour of themselves to deprive the rights of have nots. I think we commonmen from the street will judge right comparing with those who sit on high seats and tables, the so called the learned.
Mkuu Nyani Ngabu twende taratibu tu mkuu wangu tutafika salama salimini.
Tumemsikia kwa masikio yetu na kumsoma kwa macho yetu Ruge akijibu mapigo ya Jide kupitia redio yake ya clouds fm, kama ambavyo aliwahi kufanya wakati wa bifu lake na Mr. Two Sugu na hatukumuona akikimbilia mahakamani.
Baada ya kupatikana nafasi ya usuluhishi wote wawili walikubali kukutanishwa na kuyamaliza kwa faida ya pande zote mbili na sanaa kwa ujumla wake.
Hata katika sakata hili ukweli uko bayana kwamba kila upande una support ya wananchi. Wapo watu wanaokubaliana na kuunga mkono kile kinachofanywa na clouds fm pamoja na wakuu wake Ruge na Kusaga. Lakini pia wako watu ambao hawakubaliani nao na wanamuunga mkono Jide kwa uamuzi wake wa kusimama dhidi ya Clouds media na wakuu wake.
Kwahiyo huu ugomvi kadri unavyoendelea mwisho wake ni kuwagawa wasanii na mashabiki wa sanaa katika makundi hayo mawili. Kwa ajili ya manufaa ya sanaa na wasanii lilikuwa ni jambo la msingi sana pande hizi mbili zikakutanishwa kwa ajili ya usuluhishi kama ambavyo wote wamekiri katika mazungumzo yao.
Baada ya Ruge kumaliza kujibu mapigo clouds fm na kusema yuko tayari kwa usuluhishi, wengi tulitarajia kutafanyika juhudi za makusudi na haraka kuwakutanisha hawa watu lakini kinyume chake tulipata habari kuanzia katikati ya wiki iliyopita kwamba Ruge na Clouds wameamua kukimbilia mahakamani.
Ni haki yao ya kikatiba lakini kwa kuzingatia mwenendo wa kesi katika mahakama zetu, kesi hiyo inaweza kuchukua muda mrefu sana hadi kutolewa hukumu na hivyo katika kipindi chote hicho kutaweza kutokea mpasuko mkubwa sana wa kijamii kulingana na support ya wasanii na wananchi kwa upande wanaouunga mkono, kitu ambacho kitakuwa ni hasara kwa sanaa na wasanii na hakutakuwa na manufaa yoyote katika ustawi wa sanaa ya muziki hapa nchini.
Kwahiyo Ruge na clouds walitakiwa kutumia busara zaidi kuliko sheria hata kama ni haki yao ya kikatiba na hawazuiwi kufanya hivyo.
amu hata wewe uko miongoni mwao?hii ni kali sijawahi kuishuhudia kwenye social forums humu ndanihere are currently 3898 users browsing this thread. (101 members and 3797 guests)
Sasa mbona matangazo ya biashara hayajapungua? Manake kama Clouds ingekuwa ni mbaya hivyo kama ambavyo nyie manazi wa CHADEMA mnavyodai humu kusingewa na hata tangazo moja la biashara kwenye hicho kituo.
Acheni propaganda zenu za kinazi hapa.
hii ni kali sijawahi kuishuhudia kwenye social forums humu ndanihere are currently 3898 users browsing this thread. (101 members and 3797 guests)
- amu,
- Mwita Maranya,
- Tearish,
- Head prefect,
- DEMBA,
- blea,
- Sikafunje,
- nyabhingi,
- de'levis,
- Borat69,
- mdau kbt,
- Jatelo,
- cyberspace,
- Fungo N.,
- LUSAJO L.M.,
- vivacemente,
- Jr Bruno,
- banizle,
- roby2006,
- General of Heaven,
- gwino,
- Ja60,
- dunia tunapita,
- muddy82,
- HASSAN SHEN,
- mtimule,
- Nkwabi Jetta,
- Maze,
- don-oba,
- Allien,
- kigandaa,
- Pablo Pavon,
- beauty gal,
- kelcie,
- Kobossir,
- Lameck mremi,
- Runner,
- aye,
- kokotoa,
- abesiga,
- SmithG,
- Auspicious,
- denoo49,
- Jovan,
- kuntakinte9090,
- Nawai,
- EMANUEL MAHEMBO,
- Kifaurongo,
- Allanskillz,
- bullet,
- mama D,
- Prince amy,
- Scofied,
- Mwamikili,
- Mr Anold,
- Sanja,
- Defend or die,
- Rack,
- Kingengame,
- Sekoloh Mahela,
- Frekim,
- Mkono,
- data,
- B.4really,
- manunuzi,
- Stephen Buloya,
- wagaba,
- Ngaramtoni,
- meyang yang,
- ambo el capitanol,
- Peter Nindi,
- babacareeni,
- S2dak_Jr,
- Joseph Isaack,
- Innocent Prince,
- Travis samwel,
- Manyema,
- sergey,
- MD25,
- lycan,
- dope bwoi,
- pacesetter,
- Edwine Mugarula,
- Makala Jr,
- k-koo,
- PgSoft2008,
- jayy,
- MC,
- shabani madobe,
- sirng'udi,
- Mkasika,
- Bigbro,
- Caroline Danzi,
- Kijana leo,
- INGENJA,
- Gaspery Lasway,
- Malila,
- Bwana,
- Jituoriginal,
- RealMan
Mkuu Nyani Ngabu kwahiyo hapa unataka tukuelewe kuwa umeamua kusimama upande wa clouds kwakuwa wewe ni mwanaccm?
Kwahiyo na wewe unachofanya hapa ni kupiga propaganda za kinazi, sio???
MWANAMUZIKI Mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee' leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo.
Katika hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na viongozi wa Clouds Media Group ambao ni Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga. Tuhuma za kesi hiyo zinatarajiwa kusomwa mahakamani hapo na Hakimu, Athuman Nyamrani Mei 27 mwaka huu.
Jaydee aliwasili mahakamani hapo akiwa na mumewe Gadner G. Habash mishale ya saa 6 mchana na kuongoza moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao aliwakabidhi hati ya mashitaka hayo.
Source:Global publishers
Ninachokiona hapa mimi ni clouds kujaribu kupunguza speed ya tuhuma dhidi yao kwa sababu baada ya Ruge kutoa ufafanuzi wa madai ya jide kwenye radio yao jide nae aliahidi kutoa part two ya tuhuma zake. Sasa basi clouds wameona wakimbilie mahakaman ili wadau wa hii sanaa washtuke na kuona kuwa kuna sababu ya kuwaweka chini na kuongea ili kumaliza hii bifu kabla mambo hayajaribika zaidi.Na kweli kwa hili wamefanikiwa kwani Mheshimiwa makala keshaahidi kulitafutia ufumbuzi wa kudumu hili swala lao na hii itakuwa salama ya clouds isiendelee kuvuliwa nguo na jide
mimi nafatilia taratibu sina presha kwanza siwajui hao watu sijui ruge sijui kusaga huyo jd namuonaga nyumbani lounge tu pia anaringa sana anajidai yu matawi sana hata misiba ya wasanii wenzake haendagi zaidi ya ule wa kanumba tu inshort mkurya ana tabia za ajabu hajali wasanii wake na walikuwa wanamuinulia band yake remember mwinyi mtalimbo ni my brother na sikupenda alivyokuwa anamfamyia na skylight band ipo juu mie tarehe 15 kitu cha maisha nikatomboka na skylight band jide utajiju.Mkuu Nyani Ngabu kwahiyo hapa unataka tukuelewe kuwa umeamua kusimama upande wa clouds kwakuwa wewe ni mwanaccm?
Kwahiyo na wewe unachofanya hapa ni kupiga propaganda za kinazi, sio???
Tunachofanya mimi na nani? Mimi ni Ngabu na niko peke yangu. Usinihusishe na wengine ambao hawanihusu. Kama vile ambavyo wewe unavyoona mitazamo yako ndo nami hivyo hivyo. Naona huyo binti kachemka, anatafuta bifu kinguvu ili afufue career yake ambayo iko mahututi.
Well, good for you. You can like or love whatever or whomever.
Matangazo ya biashara na CCM kushinda chaguzi havina uhusiano hata kidogo. Umechemka. Jipange upya.
So? He's just another has-been anyway. And who listens to him? You and yo'mama?
Nimekwambia usinihusishe na wengine. "Mtapeleka" kwani mimi nina ubia na Clouds?
ungekuwa unatembelea jukwaa la siasa usinge shangaa guest 3000.
Wanajaribu kumzuia asipasue jipu lingine, maana aliahidi Tarehe15 au 17 mwezi huu atafunguka kitu kingine. Mtasikia siku akitaka kufunguka Polisi zitawatoka Povu kumkamata kwa kile tulichokizoea 'Amezungumzia swala lililo mahakamani hivyo kuathiri Uhuru wa mahakama'
Ukisoma jurisprudence inakwambia kuwa there is no just law but valid law kwa hiyo kama wanaelewa hilo siyo lazima mahakamani wanakuja kwa street court sisi commonmen tunahukumu basi, ndiyo maana mimi nilishapiga marufuku kusikiliza hivyo vitangazio vyao wanavyosema ni vyetu wakati sijawahi kunufaika navyo.