Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

hii ni kali sijawahi kuishuhudia kwenye social forums humu ndanihere are currently 3898 users browsing this thread. (101 members and 3797 guests)
 
Tunachofanya mimi na nani? Mimi ni Ngabu na niko peke yangu. Usinihusishe na wengine ambao hawanihusu. Kama vile ambavyo wewe unavyoona mitazamo yako ndo nami hivyo hivyo. Naona huyo binti kachemka, anatafuta bifu kinguvu ili afufue career yake ambayo iko mahututi.



Well, good for you. You can like or love whatever or whomever.



Matangazo ya biashara na CCM kushinda chaguzi havina uhusiano hata kidogo. Umechemka. Jipange upya.



So? He's just another has-been anyway. And who listens to him? You and yo'mama?



Nimekwambia usinihusishe na wengine. "Mtapeleka" kwani mimi nina ubia na Clouds?

Hahahaha. Nyani Ngabu kweli wewe kamanda wa anga. Haya majibu yako inabidi tu nicheke. #joto hasira!!!
 
Last edited by a moderator:
Ngabu, Ngabu please be critical there is no just law but valid one. Even if mawingu wins, does not mean the judgement is just, it will be a result of laws that was made by haves in favour of themselves to deprive the rights of have nots. I think we commonmen from the street will judge right comparing with those who sit on high seats and tables, the so called the learned.

What exactly is that girl bitching about?

Can you enumerate her grievances against Clouds/Ruge/ Joey?
 
Mkuu Nyani Ngabu twende taratibu tu mkuu wangu tutafika salama salimini.

Tumemsikia kwa masikio yetu na kumsoma kwa macho yetu Ruge akijibu mapigo ya Jide kupitia redio yake ya clouds fm, kama ambavyo aliwahi kufanya wakati wa bifu lake na Mr. Two Sugu na hatukumuona akikimbilia mahakamani.

Baada ya kupatikana nafasi ya usuluhishi wote wawili walikubali kukutanishwa na kuyamaliza kwa faida ya pande zote mbili na sanaa kwa ujumla wake.

Hata katika sakata hili ukweli uko bayana kwamba kila upande una support ya wananchi. Wapo watu wanaokubaliana na kuunga mkono kile kinachofanywa na clouds fm pamoja na wakuu wake Ruge na Kusaga. Lakini pia wako watu ambao hawakubaliani nao na wanamuunga mkono Jide kwa uamuzi wake wa kusimama dhidi ya Clouds media na wakuu wake.

Kwahiyo huu ugomvi kadri unavyoendelea mwisho wake ni kuwagawa wasanii na mashabiki wa sanaa katika makundi hayo mawili. Kwa ajili ya manufaa ya sanaa na wasanii lilikuwa ni jambo la msingi sana pande hizi mbili zikakutanishwa kwa ajili ya usuluhishi kama ambavyo wote wamekiri katika mazungumzo yao.

Baada ya Ruge kumaliza kujibu mapigo clouds fm na kusema yuko tayari kwa usuluhishi, wengi tulitarajia kutafanyika juhudi za makusudi na haraka kuwakutanisha hawa watu lakini kinyume chake tulipata habari kuanzia katikati ya wiki iliyopita kwamba Ruge na Clouds wameamua kukimbilia mahakamani.

Ni haki yao ya kikatiba lakini kwa kuzingatia mwenendo wa kesi katika mahakama zetu, kesi hiyo inaweza kuchukua muda mrefu sana hadi kutolewa hukumu na hivyo katika kipindi chote hicho kutaweza kutokea mpasuko mkubwa sana wa kijamii kulingana na support ya wasanii na wananchi kwa upande wanaouunga mkono, kitu ambacho kitakuwa ni hasara kwa sanaa na wasanii na hakutakuwa na manufaa yoyote katika ustawi wa sanaa ya muziki hapa nchini.

Kwahiyo Ruge na clouds walitakiwa kutumia busara zaidi kuliko sheria hata kama ni haki yao ya kikatiba na hawazuiwi kufanya hivyo.

Ninachokiona hapa mimi ni clouds kujaribu kupunguza speed ya tuhuma dhidi yao kwa sababu baada ya Ruge kutoa ufafanuzi wa madai ya jide kwenye radio yao jide nae aliahidi kutoa part two ya tuhuma zake. Sasa basi clouds wameona wakimbilie mahakaman ili wadau wa hii sanaa washtuke na kuona kuwa kuna sababu ya kuwaweka chini na kuongea ili kumaliza hii bifu kabla mambo hayajaribika zaidi.Na kweli kwa hili wamefanikiwa kwani Mheshimiwa makala keshaahidi kulitafutia ufumbuzi wa kudumu hili swala lao na hii itakuwa salama ya clouds isiendelee kuvuliwa nguo na jide
 
hii ni kali sijawahi kuishuhudia kwenye social forums humu ndanihere are currently 3898 users browsing this thread. (101 members and 3797 guests)
amu hata wewe uko miongoni mwao?
Labda pande zote mbili(Team Anaconda & Team Clouds) zimetuma wawakilishi wao kuja JF kufuatilia mjadala ili kubaini kiwango cha uungwaji mkono kutoka kwa raia wa Jamhuri ya JF.
 
Last edited by a moderator:
Sasa mbona matangazo ya biashara hayajapungua? Manake kama Clouds ingekuwa ni mbaya hivyo kama ambavyo nyie manazi wa CHADEMA mnavyodai humu kusingewa na hata tangazo moja la biashara kwenye hicho kituo.

Acheni propaganda zenu za kinazi hapa.

Mkuu Nyani Ngabu kwahiyo hapa unataka tukuelewe kuwa umeamua kusimama upande wa clouds kwakuwa wewe ni mwanaccm?

Kwahiyo na wewe unachofanya hapa ni kupiga propaganda za kinazi, sio???
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nyani Ngabu kwahiyo hapa unataka tukuelewe kuwa umeamua kusimama upande wa clouds kwakuwa wewe ni mwanaccm?

Kwahiyo na wewe unachofanya hapa ni kupiga propaganda za kinazi, sio???

Hapana, mimi siyo mwanaCCM wala CHADEMA na wala sina ubia na Clouds.

Nina fidelity na principles tu.

Leteni madai ya Jay Dee kwa mtindo wa orodha ili tujue bayana anacholalamikia.

Halafu baada ya hapo tulichambue kila lalamiko lake tuone kama lina mashiko au la.
 
MWANAMUZIKI Mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee' leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo.

Katika hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na viongozi wa Clouds Media Group ambao ni Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga. Tuhuma za kesi hiyo zinatarajiwa kusomwa mahakamani hapo na Hakimu, Athuman Nyamrani Mei 27 mwaka huu.

Jaydee aliwasili mahakamani hapo akiwa na mumewe Gadner G. Habash mishale ya saa 6 mchana na kuongoza moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao aliwakabidhi hati ya mashitaka hayo.

Source:Global publishers

Sidhani kama jide anamakosa kwa kile alichokifanya, Yeye alichokifanya ni kulalamika kwa kile alichokiona yeye anafanyiwa na kina mnyima haki yake ya msingi. Alichokifanya ni haki ya kila mtu na vizuri hakuteta ameweka wazi kwa jamii na jamii imeona na imesikia ni kitu gani alichomaanisha. Jamii kama jamii wapo walioona ni sahihi kwake kufanya hivyo na wengine wapo walioona sio sahihi. Kwa bahati nzuri nilimsikia bwana ruge siku aliyoongea kuhusu hili swala hata yeye aliongelea zaidi upande wake na upande wa redio yake na kujigamba kwa kile alichomfanyie jide enzi hizo. na baada ya mazungumzo yake nikagundua wote wanamapungufu tena si madogo, wanahitaji kutuliza akili zao na pengine watafute ushauri tena ushauri wa watu waliotuliza akili zao na sio wahuni. na wala sio kukurupuka.
Kitendo cha clouds kwenda mahakamini kwa mtazamo wangu naona wamekurupuka. Na pengine ni kufanya hii vita iwe kubwa na kupeana umaarufu zaidi.
Tuwe wa kweli na tuipende haki maana hata kwa mungu tutaikuta haki tuitendayo hapa duniani na kama tutakuwa wanyonyaji na mungu nae atatunyonya siku hukumu.
Mungu tuepushe na mabalaa haya.
 
Ninachokiona hapa mimi ni clouds kujaribu kupunguza speed ya tuhuma dhidi yao kwa sababu baada ya Ruge kutoa ufafanuzi wa madai ya jide kwenye radio yao jide nae aliahidi kutoa part two ya tuhuma zake. Sasa basi clouds wameona wakimbilie mahakaman ili wadau wa hii sanaa washtuke na kuona kuwa kuna sababu ya kuwaweka chini na kuongea ili kumaliza hii bifu kabla mambo hayajaribika zaidi.Na kweli kwa hili wamefanikiwa kwani Mheshimiwa makala keshaahidi kulitafutia ufumbuzi wa kudumu hili swala lao na hii itakuwa salama ya clouds isiendelee kuvuliwa nguo na jide

mkuu kwenda kwao mahakamani hakuto saidia maana nilitegemea wange apply for restrain order ambayo ingesaidia kumfunga mdomo jyde na asifunguke zaidi lakini ni wazi mpaka mei 27 ndio mashitaka yatasomwa na sidhani kama waliomba hiyo order. Na huyo Makala ana tafuta umaarufu tuu na kwa nini huwa wana jitokeza mwishoni? kwani hawajui yanayo endelea kwenye music kila leo.

gooooooo komando jyde na hii yote sababu ya #joto hasira#
 
Mkuu Nyani Ngabu kwahiyo hapa unataka tukuelewe kuwa umeamua kusimama upande wa clouds kwakuwa wewe ni mwanaccm?

Kwahiyo na wewe unachofanya hapa ni kupiga propaganda za kinazi, sio???
mimi nafatilia taratibu sina presha kwanza siwajui hao watu sijui ruge sijui kusaga huyo jd namuonaga nyumbani lounge tu pia anaringa sana anajidai yu matawi sana hata misiba ya wasanii wenzake haendagi zaidi ya ule wa kanumba tu inshort mkurya ana tabia za ajabu hajali wasanii wake na walikuwa wanamuinulia band yake remember mwinyi mtalimbo ni my brother na sikupenda alivyokuwa anamfamyia na skylight band ipo juu mie tarehe 15 kitu cha maisha nikatomboka na skylight band jide utajiju.
Hapa tuanangalia starehe wapi nyie pelekaneni mahakamani mie naenda kujipanga pamba nikatomboka maisha.
Ila Nyani Ngabu ndugu vipi?
Wewe ndo shemeji wake kusaga aliyemuoa dadayake anayeishi marekani?naona unatumia nguvu nyingi sana humu ndani.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha. I thought you are 'clouds' yaani. My bad, i swallow my own words. The legal system is screwing me na ukinipeleka na wewe i will rest in pieces.

Umenichekesha. Ati nachemka. Angalia nisije nikachemka mimi ukawiva wewe lol
Tunachofanya mimi na nani? Mimi ni Ngabu na niko peke yangu. Usinihusishe na wengine ambao hawanihusu. Kama vile ambavyo wewe unavyoona mitazamo yako ndo nami hivyo hivyo. Naona huyo binti kachemka, anatafuta bifu kinguvu ili afufue career yake ambayo iko mahututi.



Well, good for you. You can like or love whatever or whomever.



Matangazo ya biashara na CCM kushinda chaguzi havina uhusiano hata kidogo. Umechemka. Jipange upya.



So? He's just another has-been anyway. And who listens to him? You and yo'mama?



Nimekwambia usinihusishe na wengine. "Mtapeleka" kwani mimi nina ubia na Clouds?
 
Wanajaribu kumzuia asipasue jipu lingine, maana aliahidi Tarehe15 au 17 mwezi huu atafunguka kitu kingine. Mtasikia siku akitaka kufunguka Polisi zitawatoka Povu kumkamata kwa kile tulichokizoea 'Amezungumzia swala lililo mahakamani hivyo kuathiri Uhuru wa mahakama'

Umefikiria mbali sana ndicho wanataka. Walisema wao hawaoni haja ya kupiga nyimbo zake kama hataomba msamaha au kupata mtu atakaye suluhisha na Makala kapatikana kwanini waende mahakamani? Wameishiwa
 
Wewe Nyani Ngabu

Tafuta maandiko ya mwanafalsafa mmoja anayeitwa St. Thomas wa Aquino utajua kwamba kuna sheria za aina mbili sheria ya Mungu na ya binadamu.
Sheria ya Mungu ukifanya kosa uonwe usionwe lazima upate hukumu. Sheria ya binadamu mpaka uonwe kwa hiyo kama wamemdhulumu jide hawakuonwa waatashinda tu , haina maana kwamba hawajamdhulumu kufungua kesi kwa sisi waelewa wa vyesi huko ni kufunika kombe mwanaharamu apite.

Ukisoma jurisprudence inakwambia kuwa there is no just law but valid law kwa hiyo kama wanaelewa hilo siyo lazima wanao lalamika kudhulumiwa waende mahakamani la hasha. Wanakuja kwa street court sisi commonmen tunahukumu basi, ndiyo maana mimi nilishapiga marufuku hivyo kusikiliza hivyo vitangazio vyao wanavyosema ni vyetu wakati sijawahi kunufaika navyo.
 
Ukisoma jurisprudence inakwambia kuwa there is no just law but valid law kwa hiyo kama wanaelewa hilo siyo lazima mahakamani wanakuja kwa street court sisi commonmen tunahukumu basi, ndiyo maana mimi nilishapiga marufuku kusikiliza hivyo vitangazio vyao wanavyosema ni vyetu wakati sijawahi kunufaika navyo.

Sawa,na in the court of public opinion tutakuwepo na akina sisi tuki-pushback hizo smear attacks zenu.

So bring it on or come baby come (in Miguna's face and voice)
 
Wanatumia pesa zao kummaliza dada wa watu,sijui watapata faida gani.walichomdhulumu hata kama hawajamlipa hapa duniani,watamlipa kesho kwa mungu.You have my prayers Jide.GOD WILL ALWAYS BE WITH YOU>
 
Back
Top Bottom