Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

Nyani Ngabu ,nina wasiwasi na jinsia yako,hata ya kike sio hivyo.Au ni wale wa Mombasa waliokamatwa juzi

Kiukweli hata mimi nipo gizani kwenye hilo

Alafu na kashfa ya ile redio na anavyoitetea nazidi ku-connect dots tu
 
Last edited by a moderator:
Ananiambia anamaisha mazuri kunizidi!!!

Kisa Marekani miaka kumi?!

Inaonekana unamjua vizuri coz niliona kwenye ile post ya yule Gay basketballer ulimchomekea povu likamjaa usoni

Kanikera sana huyu jamaa,unajua hata kama tunatofautiana ila sio sawa kuingilia maisha binafsi ya mtu

Kama ni hivyo labda tungeanza kuulizia yeye huyo mama yake ni mama yake halali?!isije ikawa aliibiwa hospital?!

Kama nimekukera sana kunywa sumu ufe basi.
 
Kama nimekukera sana kunywa sumu ufe basi.

Maisha mazuri Marekani??!!tena kwa kubeba box anajitapata tu huyo Nyani Ngabu hao wabeba box saving zao kwa mwezi hawabakishi hata usd 500,danganya wabeba box wenzio wivu tu kwa kua JD kakupita kimaisha
 
Maisha mazuri Marekani??!!tena kwa kubeba box anajitapata tu huyo Nyani Ngabu hao wabeba box saving zao kwa mwezi hawabakishi hata usd 500,danganya wabeba box wenzio wivu tu kwa kua JD kakupita kimaisha

We unadhani kila mtu anabeba boksi literally? Lazima utakuwa zuzu tu wewe.
 
Ungekuwa unataka watu wajali ya kwao ungeanza na wewe kwa kujali ya kwako na kuacha kuongelea maisha binafsi ya watu

Ukijali ya Ngabu ni sawa na kazi bure. In real life he doesn't exist. Haya kanywe sumu ufe. Unasubiri nini wewe mburula?
 
Matangazo gani ambayo unasema yapo huko na kwenye redio za "kipuuzi puuzi"(kwa fikra zako)hayapo?

Nitajie redio zinazongoza kuwa na matangazo mengi ya biashara hapa TZ? Au nitajue radio ambazo wana kipindi ambacho kinakuwa na sponsors zaidi ya wa5 kwenye kipindi kimoja?
 
Wana jf mwene the straight story kuhusu hii issue ya mahakamani kuhusu jd na clouds fm mtujuze vizuri,siku moja wiki iliyopita nilisikia kwa mbali katika radio clouds miongoni mwa wahusika wakijaribu kuelezea the issue lakini sikuambulia kitu.
 
Nilidhani ruge na kusaga walivyojibu hoja kwenye media yao yaliisha...kumbe wameamua kumpeleka jide mahakamani?...now naamini wana-nia ya dhati kummaliza jide kimuziki..now naamini jide pamoja na kulia kilio kilichopoteza mwelekeo bado anahitaji kusikilizwa ili mtaani tutoe haki "streets justice"...maana naona hawa mabwana wanataka kutumia pesa na vijisenti vyao hata ikiwezekana watoe uhai wa wapinzani wao ki-biashara kwa mgongo wa mahakama.... Possibly itakuwa ni business defamation case ambayo hukumu ni kulipa fidia kubwa kusafisha jina lao.

Jide..please wasiliana na sugu tuone vinega wanaingiaje hapa na kukutetea...mahakama watakuzuia kuliongelea bifu lako kwakuwa kesi ipo mahakamani then itakaa 2yrs na ikitoka unapigwa fine 2billion tshs then unafunga na mgahawa wako na machozi band then unarudi kijijini kwako kulima mihogo.

Damn....joe n ruge..y cant u let this girl go...what do u really want 4m her?...her life?????..telll me psee whatttttttt?...you are grown-ups now "thugs turned businessmen...what else do u need???

Hahahaha
 
mwanamuziki mahiri wa bongo fleva, judith wambura 'lady jaydee' leo alifika mahakama ya wilaya ya kinondoni jijini dar es salaam
kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo.

Katika hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na viongozi wa clouds media group ambao ni ruge mutahaba na joseph kusaga. Tuhuma za kesi hiyo zinatarajiwa kusomwa mahakamani hapo na hakimu, athuman nyamrani mei 27 mwaka huu.

Jaydee aliwasili mahakamani hapo akiwa na mumewe gadner g. Habash mishale ya saa 6 mchana na kuongoza moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao aliwakabidhi hati ya mashitaka hayo.

source:global publishers

kumbe ya jide yamewauma xana zaidi ya vinega,!!
 
CLOUDS MEDIA GROUP NI WEZI hilo halina ubishi, na wanatumia mgongo wa CCM kufanya uovu wao, CHENYE MWANZO KINA MWISHO, nahisi huu ndio mwisho wa hii kampuni ya kihaya iliyojaa wezi na wanyonyaji wa haki za wasanii kama SERIKALI ya JK KIWETE
 
Huyo binti kayataka mwenyewe. Timbwili kalianzisha, ya nini unamuonea huruma?

Na Jide hana support ya watu kama ambavyo unadai ingawa mtu kama dunia yako yote ni JF waweza kudhani hivyo.

Uliona nyomi lile Dodoma? Kama Clouds ni wabaya hivyo na hawakubaliki iweje nyomi lote lile lijitokeze kuunga mkono event ya Clouds?

Watz walifuata muziki sio clouds fm. think.
 
Back
Top Bottom