Clouds FM wanajadili nani mchezaji bora wa muda wote kati ya Samata na Msuva

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Ktk kipindi hiki muhimu kuelekea mchezo wa kufa na kupona kuelekea kufuzu AFCON.

Badala ya kuhamasisha umoja wa timu, wao wanajadili nani bora kati ya Msuva na Samata.

Nadhan tuna safari ndefu kufikia Uchambuzii wa Michezo wenye tija kwa taifa
 
Samata alishapata tuzo ya mchezaji bora afrika, amecheza Europa Leage na Uefa Champions league, amefunga goli Wembley, amecheza Epl huwezi kumlinganisha na msuva mabio
Linganisha idadi ya Mabao aliyofunga Samatta kwa Taifa Stars na Msuva.
 
Ktk kipindi hiki muhimu kuelekea mchezo wa kufa na kupona kuelekea kufuzu AFCON.

Badala ya kuhamasisha umoja wa timu, wao wanajadili nani bora kati ya Msuva na Samata.

Nadhan tuna safari ndefu kufikia Uchambuzii wa Michezo wenye tija kwa taifa
Hawajasema wa 'muda wote' wamesema kwa miaka kumi iliyopita hadi sasa.
 
Ata neymar ana mabao meng timu ya taifa ya brazil ila aina maana ndo mchezaj bora wa mda wote brazil
Sasa dogo mfano wako hata wewe mwenyewe ukikaa kuufikiria utajicheka. Unaifahamu Brazil ya akina Kaka,Bebeto,Romario,Ronaldo et all? Hao jamaa? Neymar ameifanikisha nini zaidi Brazil? Unamfaham Pele? Nyie madogo wa miaka ya 2000s ni Changamoto sana.
 
Ktk kipindi hiki muhimu kuelekea mchezo wa kufa na kupona kuelekea kufuzu AFCON.

Badala ya kuhamasisha umoja wa timu, wao wanajadili nani bora kati ya Msuva na Samata.

Nadhan tuna safari ndefu kufikia Uchambuzii wa Michezo wenye tija kwa taifa
Hii redio nina miaka mitatu siisikilizi hususan katika kipindi cha michezo.
 
Back
Top Bottom