Clouds Kumdondosha Chriss Brown Tigo Fiesta Dar

Tangu waache kuchukua wasanii wa nje, na fiesta ikaanza kupoteza ladha
 
Chris brown unatakiwa kutoa zaid ya Us dola 300000 ndo anapiga show, sio kazi ya kitoto kumleta huyo mwamba
 
Unajua gharama za kumleta brizzy au drizzy wewe??

Unalipa watangazaji wote wa cmg kwa miaka miwili[emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hiyo jaksi apo fiade c wanaanzisha CMG ingine arif.!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188]
Hiyo ilikuwa mombasa hapo,nadhani alikiba naye alimuona brizzy for the 1st tym,na aliperform kama song zisizoid 5
 
sema huna,sis tunazo.
Acha ushabiki wa kindezi wewe.
Watanzania wangapi wanauwezo wa kulipia show ya laki tano?
Wapo wenye uwezo wa kutoa laki 5 cash, je, wana interest na muziki?
Mimi binafsi hata umlete malaika kuja kutumbuiza siingii hata kwa bure.
Si mpenzi wa muziki.
 
Wewe ndiyo unaota, mtu kuwa mweusi haimaanishi kuwa yeye habagui weusi.
Jamaa ni mbaguzi.
Mkumbushe weusi Wasauz walivyo wabaguzi kwa weusi wenzao, kwahivyo weusi wa mtu si excuse.
Kwenye issue husika yaani Chris Brown kuwa mbaguzi,hilo sijawahi kulisikia. Kwa nature ya entertainment industry ilivyo Unyamwezini ni vigumu msanii kuwa na aina yoyote ya ubaguzi na aka'survive, hivyo basi sidhani kama Breezy ni mbaguzi.
 

Na mimi nausubiria kwa hamu sana huo ushahidi kuwa mnywamwezi Breezy ni mbaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…