Clouds Kumdondosha Chriss Brown Tigo Fiesta Dar

Clouds Kumdondosha Chriss Brown Tigo Fiesta Dar

Tangu waache kuchukua wasanii wa nje, na fiesta ikaanza kupoteza ladha
 
Hey Guys,,

I hope mko Poa.

Katika vitu vilivyo kuwa vina subiriwa na Watz kwa hamu basi ni kusikia siku moja akidondoshwa msanii mkubwa wa Marekani Hasa Chriss Brown,Drake,Rihanna au Hata Beyonce.

Mungu Si Athumani

Juzi Baada ya kutangazwa kishindo cha Fiesta wengi tulishangazwa kuona mikoa ikiwa michache ambayo Tigo fiesta ita timba kukinukisha,Ikabidi niingie kwa Phone kutafuta namba ya mchiz wangu pale mjengoni,Majibu niliyo pata ni kwamba clouds wana mpango wa Hizi show zote zitakazo fanyika mikoa hiyo saba ziwe ni show za kimataifa,#Levels-Baby.

Mwanzoni mipango ilikuwa mwaka huu kusiwepo na show za Fiesta Lakini vijana akina Mchomvu na Bdozen wakashauri kubadilishwa mfumo wa show hizi wa kutegemea wasanii wa ndani,Ndo likaja suala la kudondosha wasanii Kutoka kwa Trump,wengi walishauri kumdondosha Chriss brown na wengne wakashauri Drake,Na inasemekana mmoja kati ya wasanii Hao wawili ndo ata washa moto Tigo fiesta Dar🔥🔥🔥.

Wa mikoani pia hawajaachwa hivi hivi,wajiandae kukutana na wasanii wa nageria,Inasemekana Mwanza atatua Burna Boy na wasanii wengine kibao wa hapa Tz.

Pia Clouds mipango yao ni kuwa Kila baada ya miezi mitatu watakuwa na show kubwa ya msanii mkubwa Kutoka nje,Na wameamua kufanya hivi ili kurudisha Ule mfumo walio kuwa nao nyuma.

Hongereni sana Clouds,Hizi ndo show Watz tunataka,siyo show unatuletea akina whozu Mara akina Lavalava.

Big Congratulations CMG.
Chris brown unatakiwa kutoa zaid ya Us dola 300000 ndo anapiga show, sio kazi ya kitoto kumleta huyo mwamba
 
sema huna,sis tunazo.
Acha ushabiki wa kindezi wewe.
Watanzania wangapi wanauwezo wa kulipia show ya laki tano?
Wapo wenye uwezo wa kutoa laki 5 cash, je, wana interest na muziki?
Mimi binafsi hata umlete malaika kuja kutumbuiza siingii hata kwa bure.
Si mpenzi wa muziki.
 
Wewe ndiyo unaota, mtu kuwa mweusi haimaanishi kuwa yeye habagui weusi.
Jamaa ni mbaguzi.
Mkumbushe weusi Wasauz walivyo wabaguzi kwa weusi wenzao, kwahivyo weusi wa mtu si excuse.
Kwenye issue husika yaani Chris Brown kuwa mbaguzi,hilo sijawahi kulisikia. Kwa nature ya entertainment industry ilivyo Unyamwezini ni vigumu msanii kuwa na aina yoyote ya ubaguzi na aka'survive, hivyo basi sidhani kama Breezy ni mbaguzi.
 
We jamaa hebu uwe na ushahidi basi, hivi kuna mtu mweusi mwenye ubaguzi wa rangi kwa weusi wenzake kweli kule Marekani?
Yule ni African-American wanavyojiita wao Marekani kwa sasa lakini ndo wale wale Black -American's walijiita zamani na ndo Negro wa enzi hizo pale Virginia.

Na mimi nausubiria kwa hamu sana huo ushahidi kuwa mnywamwezi Breezy ni mbaguzi.
 
Back
Top Bottom