sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Habari za mda huu Wana michezo?
Kuna mtu Jana mwenye akili timamu aliesikiliza hoja za wachambuzi wa ichi kipindi kuhusu team flani kushtumiwa kutumia sindano na dawa za kusisimua misuli?
Ivi huu uchawa tuna tutauacha lini yaani mnatetea team kushinda kwaa kujidunga sindano kuwa itaharibu taswira ya Mpira wa Tanzania izo ni akili timamu?
Mmeshawahi kutumia madawa mkaona reality ya mtu aaliyetumia na asiye tumia in short aliye expose iyo issue alipaswa kupongezwa kabisa sio kudhihakiwa madawa ya kulevya mtu Akitumia asiwe addicted sana anakuwa na mzuka usio kawaida mfano wasanii wanaotumia befor kupanda Kwa stage
Sasa mnaruhusu vipi wachezaji wajidunge madawa Kwa kisingizio taarifa ifichwe ili kutoharibu ajira ya Mpira
This is the highest level of insanity
Tutaharibu soccer kuwashindanisha watu Wanaotumia drugs na wasio tumia
Hili suala sio zuri ata kidogo watanzania tuacheni uchawa Kwa wenye pesa