Clouds media jana mmejiaibisha mno kwenye kipindi cha michezo

H
hilooooo mmepigwaaa...
Dunga dunga Fc
 
Mtoa mada tukikupeleka kwa pilato unaweza kuthibitisha hizi tuhuma zako???
 
Hakuna timu fulani inayoshutumiwa kupiga sindano, bali ni Yanga. Weka vizuri hapo
 
Ni kweli icho kipindi siku hizi hawa chambui mpila dakika 90, kifundi zaid wao mada zao nyingi ni nje ya uwanja tu, inshot wamezoea kazi watafute wanao jua mpila dk 90, wakina master tindwa wawe wengi zaidi
Wanaongea upuuzi mno
 
Niliwasikia jana, wale ni makanjanja tu, hamna waandishi wa habari pale..halaf ni kama kwa namna furani walikua wanaituhumu simba kwa kusambaza hizo habari, japo hawakuisema moja kwa moja, ukimsikiliza yule mwehu njenge utaona kabisa, nani hawajui clouds ni maadui wa simba..video kila mtu ameona , kama ni jambo jema kwanin timu ilificha kamera kwa kitambaa au kwanini madaktari wa timu wasitoke wakanushe au waeleze hizo sindano ni za nini
 
Bado hujakoma tuu? Bwege wewe
 
Umesahau 5 bila au ulikuwa hujazaliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…