Clouds Media katika mahojiano yake na Israel Mbonyi wamefanya vitu unprofessional, unethical na vitu vya kijinga na kuliabisha taifa

Siyo alaf ni halafu, wewe na hao clouds hamna totauti.
 
Media za kibongo wanachojuwa wao ni kuwatafuta wadada wenye makalio makubwaaaa na Kuwait kwa mahojiano

Ova
 
Nimejisikia aibu sana, wamemvunjia heshima Israel Mbonyi.

Na mbona amejibu swali lao kwa hekima sana? Au ndio hakuelewa lugha imempiga chenga hadi kuchombeza na huo upuuzi?

Kwa jinsi alivyojibu mjadala ulipaswa kuishia hapo.
Huenda walikua na majibu yao kichwani πŸ˜€
 
siku zote tunawashauri waTanzania kuwa wazalendo kwa kutazama TBC ukweli na uhakika, ninyi mnang"ang"ana huko, tazama sasa mmekwazwa huko mnakuja kulialia humu jukwaani ili kupata relief..

TBC ukweli na uhakika huwezi kukwazika kiasi hicho πŸ’
TBC hii waliotudangaya Trump kampongeza dikteta Magufuli?
 
Nchi hii kwa sasa Ina uhaba wa waandishi wa habari wa maana, wengi ni wahovyo hovyo tu. Kuanzia wanahari wa michezo mpaka siasa wote ni wahovyo tu
 
SEMA uzuri mwamba hajaelewa kuchukua Sheria mkonon inamanisha nani lasivyo angesusa interview angewashtak
 
Sudi brown pale hakuna mtangazaji. Kuna ulimbukeni mwingi sana kwa huyo brown hana anachojua na hajui ya kwamba hajui kazi ni kulazimisha tu mambo yaende.
 
Mm sijaona shida hapa, swala la kijilipua ni mtambuka
 
Clouds imejaa machawa, wavuta bangi, wavuta unga, na wale watu wanaosemwaga na dudu Baya, weledi ni zero , muimbaji wa nyimbo za injili hawezi kuhojiwa na akina sudi brown alitakiwa ahojiwe na akina Sam sasali , mbonyi ni muimbaji wa kimataifa au hawakuona Kenya walivompokea na media tour kenya waliicoordinate namna gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…