Clouds media na msiba wa Langa!

Mi nishahitimisha kuwa hao wote wanaoi-diss Clouds ndo wasikilizaji nambari wani maana kama ulivyosema wako up to date kichiizi na happenings za hiyo redio.
 
Siku kadhaa sasa zimepita na hakuna update yoyote kuhusu msiba wa msanii Langa Kileo kutoka Clouds (Vimbelembele) wala media yoyote hapa nchini!
Je, hakuwa msanii kama wakina marehemu Steven Kanumba, Bi. Kidude Sharomilionea na Ngwea!
Heri ya nyie watu sijui imesimamia upande upi! Wangetangaza mngesema wana-take advantage na msiba wa Langa, aaaargh!
 
kitulize wewe,kama huna kazi
kanunue topaz upunguze mzigo wa zi.vu
 
Siku kadhaa sasa zimepita na hakuna update yoyote kuhusu msiba wa msanii Langa Kileo kutoka Clouds (Vimbelembele) wala media yoyote hapa nchini!
Je, hakuwa msanii kama wakina marehemu Steven Kanumba, Bi. Kidude Sharomilionea na Ngwea!

wabongo tuna long way to go. hivi kwani wasanii hawawezi shirikiana bila kuhamasishwa na clouds? ivi clouds wasipotoa support kwenye msiba flan hata media nyingine hazishiriki mfano msiba wa langa clouds wangetoa support msiba ungejaa watu na media. clouds japo inapondwa kiukweli ina influence sana kwa vijana.
wasanii ni wanafiki mpaka wasikie clouds imeshiriki ndipo utaskia wanajifanya wana majonzi .............
 
kitulize wewe,kama huna kazi
kanunue topaz upunguze mzigo wa zi.vu
 
waraka wa anakonda huenda umeanza kufanya kazi
 
ndio maana amekuinamisha na ukjilainisha kama vile ni mumeo

opportunistic ruge
 
Chuki zenu sasa zinazielemea akili zenu!

umeona kaka yangu yaani nakwambia ile Radio ndo kila kitu!Ndo habari ya mjini,sasa wameagmini kwamba wao ni akina nani si wameona?wasipojitokeza kwenye jambo linavyodolola na wakijiingiza kwenye jambo linavyofana.That is it!
 
Mbona kwenye MwanaFatumA walikuwa wenyewe?,,,hahahah
 
Nyumba ndogo ya Rugay na wewe hujanunulia Rav4 kwa jasho ka Marehemu Ngwea na Langa?
 
Mmeenda South na kupiga Promo ya wiki nzima ila Langa ni jirani yenu kabisa hapo hapo Mikocheni mmeshindwa kwenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…