Clouds Media na ukabila

Clouds Media na ukabila

Status
Not open for further replies.
Kwanini clouds media ni wakabila sana. Almost wote ni wahaya na interview zao wanakuuuliza jina lako ili wajue we ni mhaya au la! Wapo wachache sana ambao siyo wahaya lakini wameajiriwa kwa bahati mbaya.
Hizi ni tuhuma nzito!

Kwa kweli ingependeza Meneja mwajiri aje ajibu tuhuma hizi kwa takwimu ili kumkomesha mtoa tuhuma na wengine wenye tabia za kutuhumu tuhuma bila kuwa na uhakika wa tuhuma husika au bila kutoa takwimu!

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Hizi ni tuhuma nzuto!.
Kwa kweli ingependeza Meneja mwajiri aje ajibu tuhuma hizi kwa takwimu ili kumkomesha mtoa tuhuma na wengine wenye tabia za kutuhumu tuhuma bila kuwa na uhakika wa tuhuma husika au bila kutoa takwimu!.

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Mi Nina uhakika asilimia mia ndo mana Uzi huu utaondolewa kwa sababu hata mxen melo ni mhaya pia
 
Njoo na orodha ya waajiriwa wote hapo clouds media group kwanza ili tujiridhishe.

Pia katika zama hizi za mwingiliano mkubwa wa makabila yetu kutokana na kuoleana, kuitwa Muganyizi, Masawe au Mwashipumbu haitoshi kuitwa mhaya, mchaga au mnyakyusa
 
Kwanini clouds media ni wakabila sana. Almost wote ni wahaya na interview zao wanakuuuliza jina lako ili wajue we ni mhaya au la! Wapo wachache sana ambao siyo wahaya lakini wameajiriwa kwa bahati mbaya.
Chalamila analizungumziaje hili
 
Kwanini clouds media ni wakabila sana. Almost wote ni wahaya na interview zao wanakuuuliza jina lako ili wajue we ni mhaya au la! Wapo wachache sana ambao siyo wahaya lakini wameajiriwa kwa bahati mbaya.
Kuna watu hampendi amani, mna chokochoko mradi tuu kuzua chuki na taharuki

Kuwaajiri wahaya sidhani kama ni kitu kilichopangwa au ni issue ya ukabila, ni kitu ambacho kinategewa kutokea kutokana na mazingira ya umiliki na mahusiano

Hao wachache wasio wahaya unaosema waliajiriwa bahati mbaya hebu tuambie mpango ulikua vipi na hiyo bahati mbaya ikatokeaje🙄🙄😏
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom