Clouds media na utapeli wa mchongo wa clouds kupitia kipindi cha 360

Kama ni elfu moja au 800 ndio wanacheza? Acha wivu

Ungewauliza kwanza na sio kukisia wakili wewe.
 
Malehem ruge apumzike Kwa Amani na si vyema kumtaja marehemu Ila samahani Kwa hili yeye ndye alifundisha crouds media wizi WA staili hii
 
Huu ni utapeli tu kama utapeli mwingine.

Kwa nini wasitowe washindi 10 kila siku? Kwa nini wakusanye pesa nyingi kiasi hiki kiharamia halafu urudishe kiduchu?

Anzisha wewe utoe washindi 10 kwa siku mzee

Kila mtu na mipango yake na strategies zake pia

Tulia tu dawa iingie

Kama vipi cheza na wewe hiyo buku unaweza bahatisha milioni leo.
 
Anzisha wewe utoe washindi 10 kwa siku mzee

Kila mtu na mipango yake na strategies zake pia

Tulia tu dawa iingie

Kama vipi cheza na wewe hiyo buku unaweza bahatisha milioni leo.
Wewe ni PJ?
 
Malehem ruge apumzike Kwa Amani na si vyema kumtaja marehemu Ila samahani Kwa hili yeye ndye alifundisha crouds media wizi WA staili hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mtoto wa nyoka ni nyoka
 
Mi wasiwasi wangu ni hao wanaojiita ni wataalam wa bodi ya bahati nasibu, iv huwa wanajua hizo software kweli! Make huwa wako kama vile hata ms word hawajui ni hardware au software.
 
Mi wasiwasi wangu ni hao wanaojiita ni wataalam wa bodi ya bahati nasibu, iv huwa wanajua hizo software kweli! Make huwa wako kama vile hata ms word hawajui ni hardware au software.
Na nina mashaka hata hao washindi wenyewe ni wa kupangwa.

Wakati marehemu Mengi anaendesha Jackpot Bingo nilimuona anko wangu kwenye tv kashinda million 10 na nilikuwa na financial harassment, basi after two days nikamtilia timu Anko nipate boost kidogo, akaniambia mjomba twende B bar kwa Remmy tukale mdudu na bia na ndio akanimegea siri akaniambia anko mjini hapa, mimi nimepewa laki tano niuze sura sasa ningeacha kilo tano?

Yani Bongo unaweza kuaminishwa jogoo ni mkubwa kuliko gari.πŸš—πŸ“πŸ˜„πŸ˜„
 
Wana leseni ya BOT? Unaweza kufanya jambo Clouds Media bila approval ya Joseph Kusaga?
Leseni kutoka BOT ya nn?..naomba unijuze, pia cdhani Kama approval ya Joe inafika Hadi kwenye uendeshaji wa vipndi..Kuna watu wanalipwa kwa Kaz io,
 
Unachokisema matola ni sahihi kabisa

Tatizo sahvi wajinga wavivu ni wengi

Ndomana watu wanajipigia hela

Kutoka kwa wajinga

Ova
 
360 hivi bado kinaendeshwa na yule jamaa mwnye bichwa kubwa..mwehu yule uwa anajiona sana halafu kakutana na mungu. Kampa ufupi kamshindilia na likichwa kubwa.
 
Hiyo ni hiyo, acha kufananisha. Unaona na ankoo alicheza huko🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…