Tetesi: Clouds media rasmi bifu na Diamond plutnumz .

Tetesi: Clouds media rasmi bifu na Diamond plutnumz .

mkia

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
582
Reaction score
508
Jambo!!
Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . .

Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha kustaajabisha imekuja nyimbo moja ya Diamond 'HELLO' sasa imeanza naona hawakutambua mapema ile jamaa (Diamond) anaonekana mziki ukakatishwa na kuwekwa mwingine.

Kweli nimeamini clouds na kijana kutoka madale hawaivi asee.
Kama kuna ambaye ameanza kuangalia kipindi kilivyoanza atakuwa shahidi wangu.

My take
vyombo vya habari hii sio kabisa haijakaa vyema kabisa kwanini muwe bias kiasi hiki!???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Jambo!! Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . . Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha kustaajabisha imekuja nyimbo moja ya Diamond 'HELLO' sasa imeanza naona hawakutambua mapema ile jamaa (Diamond)anaonekana mziki ukakatishwa na kuwekwa mwingine. Kweli nimeamini clouds na kijana kutoka madale hawaivi asee.
Kama kuna ambaye ameanza kuangalia kipindi kilivyoanza atakuwa shahidi wangu.
My take vyombo vya habari hii sio kabisa haijakaa vyema kabisa kwanini muwe bias kiasi hiki!???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako ni mtazamo hasi diamond wakati wake utapita kama wwngine ulitegemea akae hapo milele?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli bhana nakumbuka kwenye p diddy aliwahi kumwambia jay z na Dr dre kuwa wasifikiri watakuwa on top kuwa wana hela ilikuwa mwaka 2007 lakini leo hii p diddy anawaongoza wote hao.

Kupanda na kushuka ni kawaida mno ila ni vyema ile nafasi ya kupanda itumike kiakili na umakini mkubwa.

[emoji13]
 
Jambo!! Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . . Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha kustaajabisha imekuja nyimbo moja ya Diamond 'HELLO' sasa imeanza naona hawakutambua mapema ile jamaa (Diamond)anaonekana mziki ukakatishwa na kuwekwa mwingine. Kweli nimeamini clouds na kijana kutoka madale hawaivi asee.
Kama kuna ambaye ameanza kuangalia kipindi kilivyoanza atakuwa shahidi wangu.
My take vyombo vya habari hii sio kabisa haijakaa vyema kabisa kwanini muwe bias kiasi hiki!???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mond juzi alikuwa 360.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom