kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Jambo!! Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . . Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha kustaajabisha imekuja nyimbo moja ya Diamond 'HELLO' sasa imeanza naona hawakutambua mapema ile jamaa (Diamond)anaonekana mziki ukakatishwa na kuwekwa mwingine. Kweli nimeamini clouds na kijana kutoka madale hawaivi asee.
Kama kuna ambaye ameanza kuangalia kipindi kilivyoanza atakuwa shahidi wangu.
My take vyombo vya habari hii sio kabisa haijakaa vyema kabisa kwanini muwe bias kiasi hiki!???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wamepiga nyimbo ya mavoko mwanzo mwisho? Au mavoko ni tim kiba?..