Tetesi: Clouds media rasmi bifu na Diamond plutnumz .

Tetesi: Clouds media rasmi bifu na Diamond plutnumz .

Ndugu yangu kama haujui RUGE bosi wa clouds ndo Master mind wa diamond tangu anaanza,,na hawawezi kutofautiana leo au kesho..Hao akina Tale ni ma-middle man tu ila Ruge ndo anammiliki Diamond..kwahyo hiyo isikuchanganye,pia harmonize,rayvanny,mavoko ni wasanii wa Diamond lakni wapo kwenye list ya fiesta..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo!! Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . . Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha kustaajabisha imekuja nyimbo moja ya Diamond 'HELLO' sasa imeanza naona hawakutambua mapema ile jamaa (Diamond)anaonekana mziki ukakatishwa na kuwekwa mwingine. Kweli nimeamini clouds na kijana kutoka madale hawaivi asee.
Kama kuna ambaye ameanza kuangalia kipindi kilivyoanza atakuwa shahidi wangu.
My take vyombo vya habari hii sio kabisa haijakaa vyema kabisa kwanini muwe bias kiasi hiki!???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana bifu bana...mbona diamond karanga zinatangazwa kila siku...unajua ukiwa shabiki kupitiliza napo nikosa kubwa...kila kitakachofanyika utajua unaonewa...!! Emu try to be positive ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mahaba ndio ishu kubwa kwa wabongo wengi ....dai hana bifu na clouds wala clouds vivyo hivyo...Fiesta saivi ndio ipo kipaumbele so lazima wasanii husika wawe branded ili watu wakapige pesa..afu fiesta ya Rwanda mbona DAI alikuepo..afu kuna ishu ya makampuni hapa..dai yupo na Voda then Tigo wapo fiesta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika mkuu na bifu hili lihusike kwa kuwapa nguvu EFM....maana ndio wanachokitaka.Wana upendeleo wa wazi sana afu kama ulikuwa hujui clouds ni watu wanaochochea ugomvi wa wasanii hasa adam na bi twelve

Hao Eiifm si ndo mondi kamzalisha Yule mdada amisa mabeto ambaye alizaa Na boss wao magizo? Rais wa madale ana shida.
 
Kama hawapatani wale wasanii wa wcb wasingesainiwa fiesta

Tatizo ni kwamba fiesta ni tigo wakati diamond ni voda kwa kipindi hichi ataisoma namba labda mpaka fiesta ipite
Ukweli hakuna bifu kati yao basi tu maneno ya watu.
Mara ngapi wanampa promo kuliko wasanii wengine na hakuna anayelalamika?
 
Jambo!! Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . . Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha kustaajabisha imekuja nyimbo moja ya Diamond 'HELLO' sasa imeanza naona hawakutambua mapema ile jamaa (Diamond)anaonekana mziki ukakatishwa na kuwekwa mwingine. Kweli nimeamini clouds na kijana kutoka madale hawaivi asee.
Kama kuna ambaye ameanza kuangalia kipindi kilivyoanza atakuwa shahidi wangu.
My take vyombo vya habari hii sio kabisa haijakaa vyema kabisa kwanini muwe bias kiasi hiki!???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo ingekuwa ivo wasingewawachukua wasanii wake 3 fiesta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo ni kumshusha. Nyimbo ya zilipendwa haijawahi pigwa pale. But nyimbo ya kiba kila SAA inapigwa zaidi ya Mara 3
wimbo wa zilipendwa WCB hawajaupeleka clouds...

nyimbo zinazopigwa ni zile zinazopelekwa clouds ofisini tena hadi idara ya muziki ipitishwe na tira ndo ichezwe.

Kiba alipeleka seduce me ndo mana wanaupiga
 
Jambo!! Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . . Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha kustaajabisha imekuja nyimbo moja ya Diamond 'HELLO' sasa imeanza naona hawakutambua mapema ile jamaa (Diamond)anaonekana mziki ukakatishwa na kuwekwa mwingine. Kweli nimeamini clouds na kijana kutoka madale hawaivi asee.
Kama kuna ambaye ameanza kuangalia kipindi kilivyoanza atakuwa shahidi wangu.
My take vyombo vya habari hii sio kabisa haijakaa vyema kabisa kwanini muwe bias kiasi hiki!???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
ungekua mjanja ungejua why wanapiga nyimbo za hao wasanii kwa sasa....

huu ni msimu wa fiesta,nyimbo zinazopigwa ni za wasanii waliosajiliwa kuperform tigo fiesta 2017...

Diamond hajasajiliwa.
 
Muanzisha mada kama ndio mwisho wako wakufikiri basi una IQ ndogo sana,
kuna connection kubwa sana kati ya biashara za diamond na clouds media.

### usiongee kitu kabla hujafanya utafiti.
 
Back
Top Bottom