Tetesi: Clouds media rasmi bifu na Diamond plutnumz .

Tetesi: Clouds media rasmi bifu na Diamond plutnumz .

nimuda sana clouds wanahangaika kumshusha dai ila kwa nkificho nina mifano 10 hai
 
Mi nataka kuzishusha nyimbo za Alikiba zote. Naombeni Support yenu Wakuu.

Naombeni mnipe link ya kupata hizo nyimbo za Alikiba nizishushe kwenye Laptop yangu.

Sent by Samson Cyper
 
Bashite alipiga mashuti microphones zote studioni, akawaambia semeni fyoko nikawapime mikojo sasa hivi. Wakina Ruge na Kusaga wote wanamuogopa Bashite kama mume wao, sio hao matakataka ya kujifunika sura
 
Ntaanzisha kampeni wiki ijayo ya watu kutoshirikiana na Ruge. Tunataka Watanzania wajue uhuni wa Ruge

Una ubavu wa kumshinda Mange Kimambi kwa kampeni za mitandaoni ?

Kulinga kwake kwa Diamond ndo kunamponza ,hapo utakuta kawaambia clouds hawawezi kumlipa pesa ya show ...Kiba piga kazi hata kwa 10,000 ili mradi uwafikie mashabiki zako , hao mashabiki wa domo acha waendelee kumuona kwenye insta tu
 
Hapa Mkuu kwa kwel me mgeni, Lakin kuna hii issue ilitokea pale cloudz siku za usoni ikiwa bado nmfatiliaj mzur wa kipindi pendwa cha XXL. Buana mkubwa Mandia alikua akipiga story na Mammybaby kuhusu suala la Kiba kutokutoa nyimbo, Ghafla bin vuu Mkuu B12 akasema lakin ata toa me ndio nmesema. Siku chache baadae naskia Kiba karelease mzigo, mtambo wa kwanza kuwashwa Morogoro tena na yy mwenyewe B12. Hii kauli mmh! Hayo tu.

Heshima kwa Mond Bongo flava imefika mbali. Huku mitan vijana wako wanaajira. Kikubwa acha MAJIVUNO ubaki kwny Mstari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom