M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
on second a thought, binafsi nashawishika kuamini kuwa kufungiwa kwa Clouds Media kuna mkono wa MATAGA nyuma yake?
why nasema hivi?
karibia wiki ya 2 sasa Clouds wamekuwa wakimpa promo kubwa Lady Jaydee katika maandalizi take kuelekea kwenye concert yake kubwa ya tarehe 4 September ambapo atakuwa anaadhimisha 20th anniversary tangu alipojikita kwenye tasnia ya muziki.
sasa... tunajua Lady Jaydee ni "shangazi" fulani hivi kwenye misimamo yake, na MATAGA na "mashangazi" huwaga hawapikiki chungu kimoja kabisa.
am pretty sure you guys now know where am heading to, right? hahahahahaaa!
so, this Clouds Media ban is an indirect sabotage vs Lady Jaydee's preparations ahead of her grand concert next week.
this could be the most feasible explanation ya hii ban ya sasa. I can't put my finger on any other reason kwani Clouds na MATAGA have been sleeping in the same bed for 5 years now na Clouds kufungiwa kwa jambo linalowasaidia MATAGA simply doesn't add up!
udhahidi huu hapa... kama Klauz wamefungiwa, why not gazeti la Uhuru?