Tatizo linaanzia pale Kamoga alipopata uteuzi na NgomaClouds Media Wanajipendekeza sana mpaka wamepitiliza.
TCRA imeagiza Clouds TV na Redio kusitisha matangazo yao kwa muda wa siku saba kuanzia kesho 28 Agosti hadi 3 Septemba 2020 kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za uchaguzi. Pia, wametakiwa kuomba radhi siku nzima leo.
Watanzania wootee bila kujali itikadi na tofauti zetu tumuombe Mungu atujalie Rais mwanamke kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2020.Waifungie tu Great Thinkers huwa hawasikilizi Clouds FM....alisikika mwanaJF mmoja akisema.
Hasara kubwa sanaDu yaani watakuwa kimya kabisa siku 7?
Shida walitangaza kuwa wagombea 20 wa CCM walipita bila kupingwa wakati mchakato anaendeleaShida nini tena
Tuombe washinde rufaa, mtu ashinde uwañjani siyo mezani.Kosa nikutangaza matokeo bila tume kutangaza hafu mda wa rufaa ulikuwa bado kuisha. Hapo wamefanya kosa
Hakuna kuwaonea hurumaWafungiwe maisha ni wapuuzi sana
No sympathy to Clouds Media from me.TCRA imeagiza Clouds TV na Redio kusitisha matangazo yao kwa muda wa siku saba kuanzia kesho 28 Agosti hadi 3 Septemba 2020 kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za uchaguzi. Pia, wametakiwa kuomba radhi siku nzima leo.
Na hii kushinda bila wananchi kupiga kura Ni ushenzi mkubwa Karne hii, Sasa mtu kujaza fomu kwanini tume isiwarekebishe hzo fomu watu waingie kwenye uchaguzi na wapigiwe kura, nchi hii tumerudi nyuma Sana kudemocracy, eti mtu anafurahia kupita bila kupigiwa kuraTuombe washinde rufaa,mtu ashinde uwañjani siyo mezani