Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

Hivi radhi huwa ni nini jamani..? Nashangaa Sana mtu kusema ati uombe radhi!

Mi huwa nawauliza hiyo radhi wanayo ili niwaombe lkn huwa wanakuwa hawana!!..

Tusaidiane jamani Sasa Kuna wengine ndo huwa wananichanganya kabisa mwengine unakuta anasema namwaga radhi!!.. Sasa radhi ni nini?
 
TCRA imeagiza Clouds TV na Redio kusitisha matangazo yao kwa muda wa siku saba kuanzia kesho 28 Agosti hadi 3 Septemba 2020 kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za uchaguzi. Pia, wametakiwa kuomba radhi siku nzima leo.
No sympathy to Clouds Media from me.

They have gone beyond kissing the ass.
They have been trespassing into the ass-hole itself and the owner doesn't like it.

I pity Masoud Kipanya though. but only him!
 
Tuombe washinde rufaa,mtu ashinde uwañjani siyo mezani
Na hii kushinda bila wananchi kupiga kura Ni ushenzi mkubwa Karne hii, Sasa mtu kujaza fomu kwanini tume isiwarekebishe hzo fomu watu waingie kwenye uchaguzi na wapigiwe kura, nchi hii tumerudi nyuma Sana kudemocracy, eti mtu anafurahia kupita bila kupigiwa kura
 
Back
Top Bottom