Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Millard ni kada mtiifu wa CCMMbona TCRA imemwacha Millard Ayo maana yeye ndio alitangaza wagombea kupita nakuwa wabunge ikiwemo Kasimu majaliwa, na wale Morogoro
Ila yeye ndio alitangaza wote Mimi nilisoma kwakeMillard ni kada mtiifu wa ccm
Hapo TCRA wajiangalie, kule upande wa pili sidhani kama ni kosa hiloShida walitangaza kuwa wagombea 20 wa CCM walipita bila kupingwa wakt mchakato anaendelea
Amplifaya imeiponza clouds nzimaIla yeye ndio alitangaza wote Mimi nilisoma kwake
HIVI wanasoma wapi uana habari?Watanzania tukatae udikteta. We want our country back.
mbona kama umbeyaClouds Radio na Clouds Tv zafungiwa na TCRA baada ya kukiuka maadili ya utangazaji....
Stay Tuned kwa updates zaidi