harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Kheee Duuuuh......Walitakiwa wakifungie hicho kituo milele na milele na wang'oe kabisa mpk mitambo ya kurushia matangazo.
Waifungie tu Great Thinkers huwa hawasikilizi Clouds FM... alisikika mwanaJF mmoja akisema.
Vibaya mnooo ... So hapo itakuwaje kwa makampuni yaliyo kuwa yametoa pesa kwaajili ya matangazo ''?Hasara kubwa sana
Mwaka huu wamekutana na joto ya jiweWazee wa kujipendekeza hahahahahahahah..Wanajifanyaga ni wajuaji sana kumbe ni Mazezeta tu.