Choice fm,Na ipo radio yao nyingine, sijui "choose fm" na hii iwe sehemu ya hiyo adhabu TCRA musisahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Choice fm,Na ipo radio yao nyingine, sijui "choose fm" na hii iwe sehemu ya hiyo adhabu TCRA musisahau.
Relax....I'm not a GT and I didn't claim to be.Anasikiliza nini?
Haujiamini, uko inferior sana, hauwezi kuwa GT
Ukifanya kazi ya shetani tarajia malipo ya hivyo hao jamaa hukuti watu wa upinzani kuhojiwa kwenye Media zao ukikuta habari inayohusu upinzani nilize zinazoonesha mabaya tuDuh! Bila kujali upande wao wa kisiasa hili sio sawa. Wananchi wana haki ya kupata habari regardless
Kwa hiyo wataomba radhi kila saa ? yaani kila wakirusha matangazo yatakuwa matangazo ya kuomba msamaha?
Bora ingekuwa kila saa,kila baada ya nyimbo 1 wanaomba. Imebidi nibadili station tu mana naona michoshoKwa hiyo wataomba radhi kila saa ? yaani kila wakirusha matangazo yatakuwa matangazo ya kuomba msamaha?