Clouds Media waliwaza nini kuwapeleka Sam Sasali, PJ & Kijah kumhoji Lissu?

Clouds Media waliwaza nini kuwapeleka Sam Sasali, PJ & Kijah kumhoji Lissu?

Wenzetu Dunia, Hawa Waandishi wapo ambao nia Expert Kwa ajili ya kuhoji masuala Mapana na mazito ya hapa Duniani.

Alafu wapo ambao wanacheza na wasaniii, waigizaji.


Sasa KIJA alozoea mipasho , akaamua kuweka wazi kiwango kikubwa Cha Ujinga wake.
🤣 🤣 🤣
 
Mwandishi mzuri anaye jua kufanya mahojiano chunguza kipengele Cha "forum questions" hapa ndo hambainisha mwandishi aliyepita shule.

Alafu huwezi kwenda kwenye mahojiano wewe ukiwa na majibu y'ako kichwani hili ni kosa kubwa sana,Kazi ya mwandishi ni kuuliza maswali kwa niambie ya hadhira ukweli wa majibu wanao takiwa kufanya judgement ni hadhira sio wewe mwandishi.
Siyo majibu tu.Ni kujivisha u-CCM ili uchekeshe umma.
 
Kija hatokaa amsahau Lissu. Tatizo alipania kumtoa Lissu kwenye reli, mihemuko ikamponza.

Mtu anayejenga hoja za utetezi mahakamani utamuwezea wapi Kija? Next time ajifunze.

Na Lissu jana aliamua kuwa mstaarabu, angeamua angemdhalilisha zaidi.
 
haka kadada walikatoa wapi ,kwani kichwani hamna kitu harafu kanapenda kuwa namba Moja kuborongesha mahojiano
 
Kuna wakati tundu akawa anashangaa kabisa yule kichwa kikubwa na mwarabu wa Sikonge wakawa kimya.
 
juzi lissu alikua mstaarabu sana, nadhan alikua anajua huyu ni ccm, ila alimtunzia heshima ili asimuharibie, dada alikua anapanik, lissu ame relax tu anamuelewesha taratibu, lissu angechefukwa , angewatimua kama alivyomtimua wenje na dulla na mitambo ingezimwa mda ule ule
 
Back
Top Bottom