Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahah..nilichukia sana vile alivyozungumzia na namna alivyofanya kale kamkono kake huku anawatazama waiinga wenzie..Kijakazi kazingua, sukari ilimpanda mpk anataka Lissu ndo awaulize wao maswali 😹
Kada wa veggies yule 😹Ahahah..nilichukia sana vile alivyozungumzia na namna alivyofanya kale kamkono kake huku anawatazama waiinga wenzie..
Au angewaambia "wapumbavu kabisa nyie" na ile sautibyake nzito.Mkapa angewakata vibaooo haoo
Ova
Km hapendi ujinga mbona mama Anna alimbonda na stuli 😹😹Au angewaambia "wapumbavu kabisa nyie" na ile sautibyake nzito.
Yule mzee alikua hapendagi mambo ya kijinga jinga
Tena wamkute ashapiga whisky zake ,wangemjuwa vizuriAu angewaambia "wapumbavu kabisa nyie" na ile sautibyake nzito.
Yule mzee alikua hapendagi mambo ya kijinga jinga
Hapendi ujinga when it comes to "intellectual matters". Mambo ya kutumia akili halaf mtu atumie makalio, yule mzee alikua hapend kabisaKm hapendi ujinga mbona mama Anna alimbonda na stuli 😹😹
Yule kicheche alichemsha sanaMwisho wakataka Lissu awaulize maswali waandishi. Hovyo kabisa
Aloyce Nyanda na Odemba ni hakuna kitu kabisa tena kama Jana walichemka sanaNamkubali sana Charles William ,Aloyce Nyanda ,Masoud KP ,Gerald Hando ,Sizza ,Chief Odemba ,John Jambo ,Pascal Mayalla na Joh wa Jambo TV kwa maswali magumu.
Mayalla alimtwika swali JIWE hadi akapoteana na kuanza kusema Mayalla kwetu ni NJAA.