Clouds Media waliwaza nini kuwapeleka Sam Sasali, PJ & Kijah kumhoji Lissu?

Wenzetu Dunia, Hawa Waandishi wapo ambao nia Expert Kwa ajili ya kuhoji masuala Mapana na mazito ya hapa Duniani.

Alafu wapo ambao wanacheza na wasaniii, waigizaji.


Sasa KIJA alozoea mipasho , akaamua kuweka wazi kiwango kikubwa Cha Ujinga wake.
🤣 🤣 🤣
 
Siyo majibu tu.Ni kujivisha u-CCM ili uchekeshe umma.
 
Kija hatokaa amsahau Lissu. Tatizo alipania kumtoa Lissu kwenye reli, mihemuko ikamponza.

Mtu anayejenga hoja za utetezi mahakamani utamuwezea wapi Kija? Next time ajifunze.

Na Lissu jana aliamua kuwa mstaarabu, angeamua angemdhalilisha zaidi.
 
haka kadada walikatoa wapi ,kwani kichwani hamna kitu harafu kanapenda kuwa namba Moja kuborongesha mahojiano
 
Kuna wakati tundu akawa anashangaa kabisa yule kichwa kikubwa na mwarabu wa Sikonge wakawa kimya.
 
wanazaniaga kila mtu ana akili mnemba kama watu wao. FIAT ana akili kuliko hzo ng'ombe zao.
 
juzi lissu alikua mstaarabu sana, nadhan alikua anajua huyu ni ccm, ila alimtunzia heshima ili asimuharibie, dada alikua anapanik, lissu ame relax tu anamuelewesha taratibu, lissu angechefukwa , angewatimua kama alivyomtimua wenje na dulla na mitambo ingezimwa mda ule ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…