Clouds media wanavuna walichopanda wasitafute mchawi

Yule Dada Ni shupavu tu Angekuwa mwingine angeshajikatia tamaa sababu ya fitina hizi za clouds
NAONGEZEA
Komando Jide alikua na kashow kake nao clouds bila hiyana wakaweka show ya Mwana FA siku hiyohiyo.
Komando Jide alitamani kulia aisee.
 
Ninaheshimu maoni yako lakini hujawatendea haki Clouds, ujue media kama hiyo ina wasikilizaji wengi na wenye interest tofauti, kwa bahati mbaya umetofautiana nayo,hiyo haitoshi kuwahukumu hivyo kwa sababu wasikilizaji wa clouds radio na media zao zingine bado ni wengi tu. kwa mfano mimi nilikuwa sisikilizi kabisa clouds hasa kipindi kile ulichokitaja,lakini leo nawasikiliza sana hasa PB ndio nina muda, kiukweli wanafanya vizuri.Wanaelimisha, wanatoa fursa kwa watu kwenda kujitangaza hasa waandishi wa vitabu, akina Dr.Isaac wameelimisha sana kuhusu afya, KP ni msema kweli tu hajui kujikombakomba,na wala sijaona kama wako political oriented. waache wachape kazi TZ inahitaji sana media huru kuchangia maendeleo ya nchi hii. JARIBU TU KUTAFUTA NGUVU UFUNGUE RADIO/TV/GAZETI na vitu kama hivyo halafu utatuona mwitikio wetu. ISSUE C CHAMA/SERIKALI isuue ni kuvuta wasikilizaji wangapi ili ufanye biashara. WABEJA NG'WANA MAYU!!!
 
Acha uongo.
Mbona hakuna kilicho mpata Gwajima
Ndo kwanza nGwaj yupo mjengoni, yule bingwa aliangukia pua, siku hizi mpanda bodaboda Kama sisi tu hakuna Cha lst aliyokuwa anaziponda Wala Nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…