Hawa mabwenyenye wa media Tanzania kwa muda mrefu sana walizoea kuishi kwa mazoea, waliishi kwa kujipendekeza kwa serikali ya ccm na ndivyo wanavyoishi mpaka Leo
Mara nyingi hawa mabwenyenye hawafuti ethics za kazi yao hujiona bora kuliko media nyinginezo
Tunajua clouds media ilipaa sana Kipindi cha kikwete, walipiga sana pesa walipata fursa nyingi sana tunajua mzee kikwete Ni mtu simple alikuwa anapiga interview pale kila Mara
Nakumbuka kina kibonde walikuwa wanawanyea sana wapinzani na kuipigia makofi ccm
Yaan Kipindi cha kikwete mpinzan kusikiliza clouds ilikuwa kama unakalia kaa la moto wenyewe muda wote ilikuwa kuukashifu upinzani
Hawakujua hawakujua kuwa unafki una mwisho, hawakujua uongo una mwisho hawakujua dhuluma Ina mwisho
Hawakujua kuwa kila zama Zina mtume wake walifikiri mzee jk atadumu milele
Angalia Sasa pamoja na kujipendekeza kote awamu hii bado hawapati kile walichozoea kukipata
Kila wanachogusa wanapuyanga. Kama wangekuwa werevu wangekaa chini wakajiuliza
Nimesikia kuwa hawakukubaliwa kufanya onesho pale leaders ila wenyewe wakajiamini kwa kuwa walijua wao Ni makaada wa ccm
Mbona EFM waliomba pale walanyimwa na walipewa sababu
MI binafsi sifurahi kunyimwa kwa tamasha lenu kufanyika ila matatizo ya Leo mliyatengeneza wenyewe siku nyingi
Badilikeni...mbona huwa mnasema uyo ruge Ni usalama wa Taifa ameshindwa kutumia kofia yake kushawishi mamlaka?
Kuna media huwa zinanyanyaswa na mamlaka ila huwezi kuta wanalalamika hadharani nyie mmebanwa kende kidogo tu mshaanza kulia Lia,,, alahhh