Mimi binafsi nadhani Clouds wajipange. Wafanye kazi kwa weredi.Nasi pia tunatakiwa tujue kwamba ukifanya kosa wewe mwenyewe, utaadhibiwa wewe mwenyewe. Dhana ya nani kufanya kosa hilo hilo pia, tuachane nayo.
Kufungiwa kwa Clouds ni fedheha na kukosa weredi.