Clouds wamaliza adhabu ya TCRA warudi hewani kwa mbwembwe!

Clouds wamaliza adhabu ya TCRA warudi hewani kwa mbwembwe!

Muda huu wanapiga wimbo wa Jay Dee na Mwana FA machoni kama watu moyoni hawana UTU wanarudia Rudia kila mara sijui wanamaana gani.
 
Mimi binafsi nadhani Clouds wajipange. Wafanye kazi kwa weredi.Nasi pia tunatakiwa tujue kwamba ukifanya kosa wewe mwenyewe, utaadhibiwa wewe mwenyewe. Dhana ya nani kufanya kosa hilo hilo pia, tuachane nayo.
Kufungiwa kwa Clouds ni fedheha na kukosa weredi.
 
Back
Top Bottom