Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Je, ni kwamba hawa jamaa bado wana bifu kubwa dhidi ya Diamond Plutmumz na menejiment nzima ya WCB. Kwasababu kuna nyimbo nyingi kali zilizotoka hapo lkn hakuna hata wimbo mmoja wa member kutoka WCB
Makasiriko kama haya ya Clouds yanaleta impacts gani kwenye tasnia ya muziki na tasnia ya habari hapa mjini Tanzania?
Makasiriko kama haya ya Clouds yanaleta impacts gani kwenye tasnia ya muziki na tasnia ya habari hapa mjini Tanzania?