Nyimbo zinazo shika Africa 90% hazina tungo kali bali zinakuwaga na biti kali au melody nzuri au vionjo fulani vizuri.
Diamond kutunga zile tungo za Mbagala, kamwambie nk anaweza ila biashara yake kwa sasa haitaji aina hiyo ya mziki. Ila tokea 2013 alivyo toa number one Diamond mziki wake ni very simple, vionjo na tungo fupifupi ili hata asiyejua kiswahili aweze kushika mistari au biti imshike au melody na ndizo zinazo mfanya apate show nyingi.
Ukitizama hit songs za Mario amabazo ni ZIMEVUMA SANA ni Bia tamu na ile aliyoimba na Hanstone Chibonge, sasa jiulize zile zinatungo gani kali?