Clouds watoa list ya nyimbo kali mwaka 2021 bila wimbo hata mmoja kutoka WCB

Radio yao waache wafanye watakacho kwani kuna radio zaidi 120 na chati yao kila mwaka Diamomd hayupo ,ila haijawahi kumkosesha show Diamond wala kupunguza streams zake kwenye digital platform,wala nomination. Huuu mziki wa bongo kila radio ina wasanii wake na hiko ni chombo binafsi sio TBC.
Haqiqaa mkuu nmekupata
 
Hao ndio clouds hapo Zuchu wamemweka wafanayeje,ila ukweli wanaujua Sukari ndio single iliyo kimbiza katika digital platform zote za Tanzania na Kenya na MTV Base Africa katika nyimbo bora za 2021,Sukari ndio nyimbo pekee kutoka Tanzania ikishika nafasi ya 13.

Huko Kenya msanii analipwa kila nyimbo yake ikipigwa radioni nyimbo ya Zuchu Sukari karibia radio zote inashika nafasi ya kwanza.
Screenshot_20211231-230806_Instagram.jpg

Ila Sadala aliwaambia yy kama maji hakwepeki.
 
Hao ndio clouds hapo Zuchu wamemweka wafanayeje,ila ukweli wanaujua Sukari ndio single iliyo kimbiza katika digital platform zote za Tanzania na Kenya na MTV Base Africa katika nyimbo bora za 2021,Sukari ndio nyimbo pekee kutoka Tanzania ikishika nafasi ya 13.

Huko Kenya msanii analipwa kila nyimbo yake ikipigwa radioni nyimbo ya Zuchu Sukari karibia radio zote inashika nafasi ya kwanza.
View attachment 2064437
Ila Sadala aliwaambia yy kama maji hakwepeki.
Naunga hoja mkono
 
Haya ni mambo ya business strategy nyie hamjui tu

By the way Pussy on period be good asf, Like D be walkin on red carpet
 
Je ni kwamba Hawa jamaa bado wana bifu kubwa dhidi ya Diamond plutmumz na menejiment nzima ya WCB. Kwasababu Kuna nyimbo nyingi Kali zilizotoka hapo lkn hakuna hata wimbo mmoja wa member kutoka WCB

Makasiriko kama haya ya clauds ... yanaleta impacts gani kwenye tasnia ya muziki . ...na tasnia ya habari hapa mjini Tanzania?View attachment 2064225
Hebu taja izo ngoma kali unazoamini zitaingia hapo
 
Kabisa mkuu....kuna juhudi za kimakusudi .....ku Mu Upgrade MARIOO
Kuna kosa kumupgrade mtu, ni mbinu ya kumkuza mtu hata wasafi wanaitumia na uwa inafanikiwa. Zuchu alivyotoa single moja tu moja kwa moja walianza mpambanisha na nandy na jay d na ikafanya kazi.
Hivyo kujaribu kumfanya marioo ni mkali sana ni mbinu tu. Inaweza work au ikafail. Ila kindani ndani mwaka huu marioo kafanya poa bia tamu
 
Mbona namba nane ni zuchu kwani yeye amehama WCB lini?
Je ni kwamba Hawa jamaa bado wana bifu kubwa dhidi ya Diamond plutmumz na menejiment nzima ya WCB. Kwasababu Kuna nyimbo nyingi Kali zilizotoka hapo lkn hakuna hata wimbo mmoja wa member kutoka WCB

Makasiriko kama haya ya clauds ... yanaleta impacts gani kwenye tasnia ya muziki . ...na tasnia ya habari hapa mjini Tanzania?View attachment 2064225
 
Kuna kosa kumupgrade mtu, ni mbinu ya kumkuza mtu hata wasafi wanaitumia na uwa inafanikiwa. Zuchu alivyotoa single moja tu moja kwa moja walianza mpambanisha na nandy na jay d na ikafanya kazi.
Hivyo kujaribu kumfanya marioo ni mkali sana ni mbinu tu. Inaweza work au ilafail. Ila kindani ndani mwaka huu marioo kafanya poa bia tamu
Ila mkuu kusema kweli MARIOO ni msanii mmoja mkali Sana Kuna Kali Sana alizifanya

for u

Loyality ya darasa

Beer tamu ...
 
Back
Top Bottom