Clouds watoa list ya nyimbo kali mwaka 2021 bila wimbo hata mmoja kutoka WCB

Je ni kwamba Hawa jamaa bado wana bifu kubwa dhidi ya Diamond plutmumz na menejiment nzima ya WCB. Kwasababu Kuna nyimbo nyingi Kali zilizotoka hapo lkn hakuna hata wimbo mmoja wa member kutoka WCB

Makasiriko kama haya ya clauds ... yanaleta impacts gani kwenye tasnia ya muziki . ...na tasnia ya habari hapa mjini Tanzania?View attachment 2064225
Makasiriko haya hayana tija kwakuwa ni aina fulani tu ya kujifariji na kuonesha fukuto la ghadhabu zilizotamalaki moyoni
 
List ya mchongo binafsi Sukari ndio ngoma iliyohit Sana kuliko zote hapo ikifuatiwa labda na bia tamu. Kuna ngoma nyingi zimefanya vizuri na hazipo kwenye list yao Cha ajabu kuna ngoma zipo hapo hazistahili kuwepo
Hapo ndipo wanna prove failure
 
Je ni kwamba Hawa jamaa bado wana bifu kubwa dhidi ya Diamond plutmumz na menejiment nzima ya WCB. Kwasababu Kuna nyimbo nyingi Kali zilizotoka hapo lkn hakuna hata wimbo mmoja wa member kutoka WCB

Makasiriko kama haya ya clauds ... yanaleta impacts gani kwenye tasnia ya muziki . ...na tasnia ya habari hapa mjini Tanzania?View attachment 2064225
Mbona rayvan na zuchu wapo au hao sio dabili u cb kwan mwakitombile katoa hit gan kali mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna wimbo wa Rayvanny hapo ila ipo aliyoshorikishwa, hakuna wimbo wa Mbosso hata mmoja, huo wimbo wa Zuchu Sukari wameweka no 7 yaani wimbo wa uttu wa kiba umehit kuliko Sukari? Kinata ngoma yake umefanya vizuri kuliko wimbo wowote wa Diamond? Like seriously?
 
Mwenyehisa Kubwa Wasafi Media ni Mke wa mmiliki wa Clouds media wanazuga ugomvi kukuza biashara zao
 
Hakuna wimbo wa Rayvanny hapo ila ipo aliyoshorikishwa, hakuna wimbo wa Mbosso hata mmoja, huo wimbo wa Zuchu Sukari wameweka no 7 yaani wimbo wa uttu wa kiba umehit kuliko Sukari? Kinata ngoma yake umefanya vizuri kuliko wimbo wowote wa Diamond? Like seriously?
Diamond katoa hit gani mwaka huu taja na kigezo chao ni kuombwa na kuchezwa sana ndan ya xxl shida iko wap mbona mnapenda sana ligi
 
Hakuna wimbo wa Rayvanny hapo ila ipo aliyoshorikishwa, hakuna wimbo wa Mbosso hata mmoja, huo wimbo wa Zuchu Sukari wameweka no 7 yaani wimbo wa uttu wa kiba umehit kuliko Sukari? Kinata ngoma yake umefanya vizuri kuliko wimbo wowote wa Diamond? Like seriously?
Ni hujumaaaaaaa
 
Mkuu ...lkn pia usisahau unaweza kutoa maon ambayo yapo wrong...mbele za watu
Maoni tuyaweza kuyapa uhalaliwa right and wrong sio katika muziki ndio maana grammy wanaweza kumpa tuzo ya best pop artist msanii flani na bet wakampa mwingine, wote wapo sahihi kwa sababu hakuna vipimo thabiti vya kujua nyimbo nzuri ni ipi zaidi zaidi ni hisia tu ndio zinaongoza.

Kwa hiyo wewe upo sahihi na clouds nao wapo sahihi
 
Kama clouds wapo sahihi mbona list yao imepondwa Sana na watu wengi pamoja na wasikilizaji wao ebu kapitia kwenye mitandao yao ya jamii utaona
 
Back
Top Bottom