Clouds watoa list ya nyimbo kali mwaka 2021 bila wimbo hata mmoja kutoka WCB

Clouds watoa list ya nyimbo kali mwaka 2021 bila wimbo hata mmoja kutoka WCB

Maoni tuyaweza kuyapa uhalaliwa right and wrong sio katika muziki ndio maana grammy wanaweza kumpa tuzo ya best pop artist msanii flani na bet wakampa mwingine, wote wapo sahihi kwa sababu hakuna vipimo thabiti vya kujua nyimbo nzuri ni ipi zaidi zaidi ni hisia tu ndio zinaongoza.

Kwa hiyo wewe upo sahihi na clouds nao wapo sahihi
Kabisa mkuu....hakuna kipimo halisi
 
Je ni kwamba Hawa jamaa bado wana bifu kubwa dhidi ya Diamond plutmumz na menejiment nzima ya WCB. Kwasababu Kuna nyimbo nyingi Kali zilizotoka hapo lkn hakuna hata wimbo mmoja wa member kutoka WCB

Makasiriko kama haya ya clauds ... yanaleta impacts gani kwenye tasnia ya muziki . ...na tasnia ya habari hapa mjini Tanzania?View attachment 2064225
Zuchu kawakilisha
 
Back
Top Bottom