Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #101
Kabisa mkuu....hakuna kipimo halisiMaoni tuyaweza kuyapa uhalaliwa right and wrong sio katika muziki ndio maana grammy wanaweza kumpa tuzo ya best pop artist msanii flani na bet wakampa mwingine, wote wapo sahihi kwa sababu hakuna vipimo thabiti vya kujua nyimbo nzuri ni ipi zaidi zaidi ni hisia tu ndio zinaongoza.
Kwa hiyo wewe upo sahihi na clouds nao wapo sahihi