Hiyo #8 inatoka wapi?Je ni kwamba Hawa jamaa bado wana bifu kubwa dhidi ya Diamond plutmumz na menejiment nzima ya WCB. Kwasababu Kuna nyimbo nyingi Kali zilizotoka hapo lkn hakuna hata wimbo mmoja wa member kutoka WCB
Makasiriko kama haya ya clauds ... yanaleta impacts gani kwenye tasnia ya muziki . ...na tasnia ya habari hapa mjini Tanzania?View attachment 2064225
Mkuu ...lkn pia usisahau unaweza kutoa maon ambayo yapo wrong...mbele za watu8. Zuchu sukari, lakini hata wasipokuwepo hakuna tatizo mana hayo ni maoni yao kama unaona wamekosea na wewe toa ya kwako bila kukosoa maoni ya kwao. Jifunze kuficha kilichopo moyoni.
Hapo nashindwa kuelewa kuwa ...je bifu lao bado lipo? Pamoja na kusaga kuwa rafiki wa mondDiamond anapitwa Hadi na kinata mc[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Alafu boss wa clouds Ana urafiki na diamond.
Ni sawa na mbwa kumchukia rafiki wa bosi wake.
Pia vitu vidogo kama hivi ndivyo vinavyoiua clauds ......wasafi tv huwa wanapiga nyimbo za KING KIBA na KONDE BOY .....pamoja na kuwa na ushindani.....hii huifanya wasafi media ku gain more popularityClouds ilikuwa zamani,siku hizi hawana maajabu ktk hii industry ya muziki.Vibogoyo!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Radio yao waache wafanye watakacho kwani kuna radio zaidi 120 na chati yao kila mwaka Diamomd hayupo ,ila haijawahi kumkosesha show Diamond wala kupunguza streams zake kwenye digital platform,wala nomination. Huuu mziki wa bongo kila radio ina wasanii wake na hiko ni chombo binafsi sio TBC.Je ni kwamba Hawa jamaa bado wana bifu kubwa dhidi ya Diamond plutmumz na menejiment nzima ya WCB. Kwasababu Kuna nyimbo nyingi Kali zilizotoka hapo lkn hakuna hata wimbo mmoja wa member kutoka WCB
Makasiriko kama haya ya clauds ... yanaleta impacts gani kwenye tasnia ya muziki . ...na tasnia ya habari hapa mjini Tanzania?View attachment 2064225
baada ya ruge, wanaogopa huenda wakatakwa wajieleze, hata huyo zuchu huenda kawekwa coz hakuwepo wakati huo.Kipind cha RUGE au ?