Je ni kwamba Hawa jamaa bado wana bifu kubwa dhidi ya Diamond plutmumz na menejiment nzima ya WCB. Kwasababu Kuna nyimbo nyingi Kali zilizotoka hapo lkn hakuna hata wimbo mmoja wa member kutoka WCB
Makasiriko kama haya ya clauds ... yanaleta impacts gani kwenye tasnia ya muziki . ...na tasnia ya habari hapa mjini Tanzania?
View attachment 2064225