Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

African watakuwa washapotea.walijua watashinda mapema lakin wapi.....

Wametukatia umeme huku kwetu.
 
Kiukweli hapo kwenye Bold umekosa Uungwana sana!!
 
Yanga kwenye kwenye michuano hii kudominate tupo vizuri issues kutupia nyavuni.

Halafu anatokea mpuuzi mmoja kisa kaona kamera Nabi hafai,Nabi hafai wakati hata kadi ya electronics hana. Mimi leo tufuzu tusifuzu ila Nabi ni bonge la kocha, hamna kazi ngumu kama kuinga timu na ikacheza mpira.
 
Leo mnajipapatua,fungeni sasa ili mjihakikishie ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…