Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
mtani achana na mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtani achana na mimi
Lini Simba alishinda dk 90 kwa Mwarabu?Google mkuu mi nalala
🤣🤣🤣 hawana hamu na ile siku yaani.Daah ilikua siku tamu sana ile maana guvu moya walipigwa kila kona😂😂😂😂
@OKW BOBAN SUNZU umepotea sana mzee humu jukwaani.FULL TIME: Yanga inafanikiwa kufuzu Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika
90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza
89' Bakari Mwamnyeto anaingia anatoka Morrison
88' Wenyeji wanaonekana kama wamkata tamaa, wanapata kona
80' Yanga wameanza kucheza vizuri zaidi, wanamiliki mpira
Azizi Ki anaipatia Yanga goli kwa shuti la mbali akimalizia mpira wa kichwa wa Mayele
78' GOOOOOOOOOOOOOOOOO
72’ Mabadiliko kwa Yanga, Moloko anatoka anaingia Farid Musa
69’ Morrison anapata kadi ya njano kwa kucheza faulo
68’ Mabadiliko kwa Yanga, Azizi Ki anaingia anatoka Aucho
64’ Kipa wa Yanga, Diarra yupo chini akitibiwa, mwamuzi anampa njano akiamini anapoteza muda
62' Azizi Ki anapasha misuli, anaonekana anajiandaa kuingia
60' Mabadiliko ya wachezaji wawili wa Club Africain yanafanyika
55' Utulivu bado ni wa kiwango cha juu kwa Yanga
50' Wenyeji wanaongeza kasi lakini ukuta wa Yanga bado ni mgumu kupitika
Kipindi cha pili kimeanza
MAPUMZIKO
45' Shuti kali langoni mwa Yanga lakini Diarra anadaka
40' Kasi ya mchezo imepungua
33' Khalid Aucho anapata kadi ya njano kwa kucheza faulo
27' Yanga wanaonesha utulivu na ndio wanamiliki mpira muda mwingi
25' Yanga wanafanya shambulizi kali lakini kipa wa Club Africain anaudaka
15' Yanga wanaonekana kuwa na utulivu na kupiga pasi kadhaa
10' Wenyeji wanajaribu kuongeza kasi ya mashambulizi
5' Presha ya mchezo ni kubwa, Yanga wanaonekana kuupoozesha mchezo
Mchezo umeanza
Leo ndiyo ile siku tuliyokuwa tukiisubiri kwa hamu huku wengine wakiisubiri kwa hofu kubwa. Mechi itakuwa saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki!
Mechi itakayoamua nani anaenda makundi CAFCC. Ikumbukwe kuwa matokeo ya mchezo wa kwanza uliisha kwa sare ya bila kufungana uwanja wa B. Mkapa-Lupaso.
Ulirekebisha hapa lknModerator Hebu Tuongezee hapo kwenye heading..Uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic Rades.
Ili vizazi vijavyo vijue kuwa Gongowazi kumbe waliuliwa kinyama kwenye Uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic-Rades.
Hapa Ulicomment Kihasibu.Yaani hapo alipoingia ki Aziz ndio alipobugi huyo profesa wa mchongo.. msije sema sikuwaambia
SahihiPrediction: CA 3-1 Yanga