Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Wekeni akiba ya maneno kuna mechi zingine mbele.
 
Kila nikijaribu kuiombea yanga kuna sauti inasema ndani yangu kwamba "USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO". Basi naamua kuitii hiyo sauti mana staki dhambi mimi. Wachezaji wa Yanga wanatamani wangepata ajali kama ile ya precision air ili kuficha aibu yao kwa taifa .
Rudi hapa
 
Mi mbona simlaumu kocha? Kwanza sina tabia ya kumlaumu mtu kwenye timu waka benchi la ufundi. Ntapitia mtani uweke na pilipili nyingiii iniwashe vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom