Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Unaangalia mechi gani,hapa siyo Liti stadium ujueIla nahisi Yanga wameiba mbinu zote za kucheza na waarabu.. Naona wanapoteza muda sana
Wanacheza kaswida? HahahahaBora alivyotoka maana waarab wanavyo jirusha na Aucho ana kadi tunaweza tukawa pungufu.
Umri mkubwa sio tiketi ya kujua vingi, unaweza kuwa mkubwa afu kumbe kubwa jingaWatoto wa 2000's hamuwezi kuelewa hata tukiwaelimisha
Hilo utasokomezwa nyuma kwakoHawa waarabu feki nn mbona wanachelewa kuwapa hogo yanga
Kadi anatoa bila sababu......ila tupo imaraHuyu refa anawebeba waraabu wazi wazi kabisa