Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Hizi Sub za Club Africain zinsonekana kuja kubadilisha mchezo
 
MAPUMZIKO

45' Shuti kali langoni mwa Yanga lakini Diarra anadaka
40' Kasi ya mchezo imepungua
33' Khalid Aucho anapata kadi ya njano kwa kucheza faulo
27' Yanga wanaonesha utulivu na ndio wanamiliki mpira muda mwingi
25' Yanga wanafanya shambulizi kali lakini kipa wa Club Africain anaudaka
15' Yanga wanaonekana kuwa na utulivu na kupiga pasi kadhaa
10' Wenyeji wanajaribu kuongeza kasi ya mashambulizi
5' Presha ya mchezo ni kubwa, Yanga wanaonekana kuupoozesha mchezo
Mchezo umeanza



Leo ndiyo ile siku tuliyokuwa tukiisubiri kwa hamu huku wengine wakiisubiri kwa hofu kubwa. Mechi itakuwa saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki!

Mechi itakayoamua nani anaenda makundi CAFCC. Ikumbukwe kuwa matokeo ya mchezo wa kwanza uliisha kwa sare ya bila kufungana uwanja wa B. Mkapa-Lupaso.
Wachawi ndiyo leo wameshika usukani!
 
Yanga inaonekana game plan yao ni kufika matuta na sio makundi
 
Simba kwa ilivyocheza leo ingepewa club African ingekufa
 
Back
Top Bottom