Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Tunajua leo mtasema yoote huku mkiombea dua zenu zitimie ila Wananchi hatujali wala nini.

Kila la kheri Timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Kha...leo kweli wananchi mtaoga maneno yote. Eti kweli nabi kapewa mechi ya leo tuu yanga wakitolewa na yeye asipande emirates kurudi bongo?
 
Tuwaulize nyie haya maswali Mkuu. Vipi hizi habari ni kweli eti?
 
Ndio nasikia hapa kwenye radio kuwa nabi hii mechi imeshika hatma yake pale kigamboni. Itakuwa alienda na mabegi yake yote maana anarudi nyumbani
 
Hahahaaa. Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…